Mama Kanumba Atoa siri za mwanae

Mama Kanumba Atoa siri za mwanae

Duh...afadhali Mama amefafanua, siku zote nimekuwa naumiza kichwa kumbe Eliza alialikwa kufanya maombi na sio kama waja wanavyochonga huku kitaa, na divai ilikuwepo kusindikiza maombi.
 
Si nasikia yule bilionea wa lulu aliyempangishia nyumba mbez sijui anaitwa seki, sasa iv anatoka na jokate, mapenz moto moto, sasa juzi kat bi shost wale walikutana viwanja, jokate akawa anadai lulu anamvunjia heshima, anamtangazia maneno machafu kwa watu. LULU nae akaja juu kama moto wa kifuu.. itaendelea... www.warumi.com

Endelea basi binamu
 
Halooo ya mmeba pochi hahah utakuwa unafaidi chenchi
Yaniii ntafaidi hatariii!!Ntafaidi kwenda sehemu boss wangu atakazokua anaenda!ntawaona watu wengi masuperstar...yani naweza kumpiku kwa miumbeya tatizo,tutafikia hatua ya kupiga picha na Le mutuz le billionea,na wengine kibaoo!
Msukule wa Warumi...
 
Hii tabia ya kuchukua habari globalpublisher na kuzileta huku zimeshika kasi sn,inakeraaaaaa.
Mleta mada kaleta kama ilivyo toka huko.

Kama umekerekwa chukua ndimu urambe!!Wengi haitukeri bali inatufurahisha!!Hatuna muda wa kununua magazeti au kuingia huko globo...ni sawa mtu akicopy habari Reuters,TMZ,au BBC utachefuka!?unless otherwise una yako!!
 
Kwani kaitwaaa?????
 
Hajui ndio maana vimeitwa vyombo vya habari? Anataka habari itoke kwenye vyombo vya jikoni inahuuuu achana nae
 
Hahaha Huyu nae Mama Kanumba anapenda U Star sana!
 
Nilikuwa namuona marehemu kwa jicho la kitofauti sana, alikuwa mstaarabu sana hilo linajulikana mbona, alikuwa sio mtu wa anasa kihivyo na mashauzi alikuwa hana na ndio maana Daima atakumbukwa, huyo ndomo atakumbukwa kwa ubunifu wake tu ila sio kijana mwenye maadili kama kanumba

Kanumba alikuwa mtu poa sana tofauti na Ray ana majivuno na kujisikia sana, kama hakufahamu na mmekaa sehemu hata ukimuongelesha anaweza asikujibu akakuangalia tuu,
 
Kanumba alikuwa mtu poa sana tofauti na Ray ana majivuno na kujisikia sana, kama hakufahamu na mmekaa sehemu hata ukimuongelesha anaweza asikujibu akakuangalia tuu,

Nawe unamuongelesha wa niniii???
 
Back
Top Bottom