Mama kijacho amesema anataka shaulama, nimesema sijui kakasirika

Mama kijacho amesema anataka shaulama, nimesema sijui kakasirika

We unaishi wapi nikupe location nyingine ya karibu
Mkuu shukran, ilinibidi niende, wanauza ndogo 7,000 kubwa 11,000. Ila ukweli ni ujinga ujinga tu, ni chapati tu imefungwa nyama. Haiendani na hiyo hela hata kidogo, ni bora angetaka tu chips kuku.
 
Chapati limeviringishwa nyama nyama kwa ndani na mazaga kibao ni ujinga ujinga tu mkuu, vyakula vya wapemba na waarabu waarabu
Nimeona, ni uizi uizi tu, nimejaribu kuhoji nimeonakana kama nimemletea chakula na masimango ila ni ukinga ujinga tu.
 
Mkuu shukran, ilinibidi niende, wanauza ndogo 7,000 kubwa 11,000. Ila ukweli ni ujinga ujinga tu, ni chapati tu imefungwa nyama. Haiendani na hiyo hela hata kidogo, ni bora angetaka tu chips kuku.
Pole ndio ukubwa uho
 
Sio shawarma?

Wanakuwaga na kusudi hao anajua kakuweza. Mimi hunipelekeshi.

Single mothers kibao wametiwa mimba wakakimbiwa wakafikisha miezi tisa bila kusumbua mtu.
Kama ni mkeo, akideka usi'mindi. Kambeba mwanao, hakupelekeshi😂😂😂
 
Nimeona, ni uizi uizi tu, nimejaribu kuhoji nimeonakana kama nimemletea chakula na masimango ila ni ukinga ujinga tu.
Mkuu wanawake wana upumbavu mwingi sana kuwa makini.. Wanaweza sababisha ukaona wazazi wako wajinga kukuzaa wewe
 
Back
Top Bottom