Mkuu shukran, ilinibidi niende, wanauza ndogo 7,000 kubwa 11,000. Ila ukweli ni ujinga ujinga tu, ni chapati tu imefungwa nyama. Haiendani na hiyo hela hata kidogo, ni bora angetaka tu chips kuku.We unaishi wapi nikupe location nyingine ya karibu
Nimeona, ni uizi uizi tu, nimejaribu kuhoji nimeonakana kama nimemletea chakula na masimango ila ni ukinga ujinga tu.Chapati limeviringishwa nyama nyama kwa ndani na mazaga kibao ni ujinga ujinga tu mkuu, vyakula vya wapemba na waarabu waarabu
Pole ndio ukubwa uhoMkuu shukran, ilinibidi niende, wanauza ndogo 7,000 kubwa 11,000. Ila ukweli ni ujinga ujinga tu, ni chapati tu imefungwa nyama. Haiendani na hiyo hela hata kidogo, ni bora angetaka tu chips kuku.
Kama ni mkeo, akideka usi'mindi. Kambeba mwanao, hakupelekeshi😂😂😂Sio shawarma?
Wanakuwaga na kusudi hao anajua kakuweza. Mimi hunipelekeshi.
Single mothers kibao wametiwa mimba wakakimbiwa wakafikisha miezi tisa bila kusumbua mtu.
Sio mi ni mimi 😊...Siyo Heti ni Eti😊...!!shaulama ndiyo nini tena jamani😂😂 mi mshamba
Mkuu wanawake wana upumbavu mwingi sana kuwa makini.. Wanaweza sababisha ukaona wazazi wako wajinga kukuzaa weweNimeona, ni uizi uizi tu, nimejaribu kuhoji nimeonakana kama nimemletea chakula na masimango ila ni ukinga ujinga tu.