Mama Kijo Bisimba alaani kauli za Magufuli juu ya Mwanamke. Asema kauli zake hazimfai mtu aliyekalia kiti cha Ofisi ya Rais

Mwanamama mtetezi wa siku nyingi wa haki za binadamu hususan za wanawake mama Kijo Bisimba, amelaani vikali kauli za Rais Magufuli anazozitoa mara kwa mara juu ya wanawake...
Kwa hili nalikubali, JPM tangu mtoto utani wake ndiyo huo. Kwa sasa anatakiwa atambue ni kiongozi wa nchi na kauli yake si utani ni maagizo. inabidi ajirekebishe haswa
 
Wengi walioamasishwa kujiandikisha ili wamchague magu kwa sasa wanamuelewa vizuri sana ndg TAL ata Chato wamemuonyesha magu kuwa wako na lissu ivyo msijipe imani pasipo na imani
Kuna wengine walijitapa hapa wameshazivunja vunja
 
Nina Kuna liana na mama Bisimba hizi kauli hazitoki kwa mtu mwenye nafasi ya Urais, binafsi mimi kama mangara nimemsamehe lakini kura yangu hataipata, itakwenda kwa anaestahili kuwa Rais.
Wanawake wenyewe mnajichubua or kupaka makeups angalau kubadil rangi mngae....chunguza makeup desk yako ukikosa yale ma pouda yenu ntakubal kua rais ana makosa..........yan utafkir rais hatakiw tania..duh
 
Mwanamama mtetezi wa siku nyingi wa haki za binadamu hususan za wanawake mama Kijo Bisimba, amelaani vikali kauli za Rais Magufuli anazozitoa mara kwa mara juu ya wanawake....
Wanawake wenyewe mnajichubua or kupaka makeups angalau kubadil rangi mngae....chunguza makeup desk yako ukikosa yale ma pouda yenu ntakubal kua rais ana makosa..........yan utafkir rais hatakiw tania..duh
 
Sawa sawa mkuu. Lets wait oct 28.
Wengi walioamasishwa kujiandikisha ili wamchague magu kwa sasa wanamuelewa vizuri sana ndg TAL ata Chato wamemuonyesha magu kuwa wako na lissu ivyo msijipe imani pasipo na imani
 
Wanawake wenyewe mnajichubua or kupaka makeups angalau kubadil rangi mngae....chunguza makeup desk yako ukikosa yale ma pouda yenu ntakubal kua rais ana makosa..........yan utafkir rais hatakiw tania..duh
Utani unaobagua maumbile ya kuzaliwa haukubaliki.
 
Kikao cha wamanzego wasio na uhakika wa kupiga kura. Wakuu msiishie kumwaga povu hapa mkapige kura pia
Unapenda sana mitandao ya kijamii.Kampigie kura Magufuli.Akishinda urais anaifungia yote including JF.Yaani mchimba kaburi unajizika mwenyewe yaani!Mark my words
 
Ninakubaliana na mama Bisimba hizi kauli hazitoki kwa mtu mwenye nafasi ya Urais, binafsi mimi kama mangara nimemsamehe lakini kura yangu hataipata, itakwenda kwa anaestahili kuwa Rais.
[/QUOTE
Hayo ni masihara 5 tena kwa JPM
 
5 kwa JPM. Zimwi likujualo halikuli likakumaliza.
Napenda movies mkuu
Unapenda sana mitandao ya kijamii.Kampigie kura Magufuli.Akishinda urais anaifungia yote including JF.Yaani mchimba kaburi unajizika mwenyewe yaani!Mark my words
 
Mwanamama mtetezi wa siku nyingi wa haki za binadamu hususan za wanawake mama Kijo Bisimba, amelaani vikali kauli za Rais Magufuli anazozitoa mara kwa mara juu ya wanawake.

Akihojiwa na redio moja ya nje, Mama Bisimba amesema, kauli hizo za Magufuli zisichukuliwe kimizaha mizaha kwa sababu hizo kauli zinaweza kupelekea unyanyasaji mkubwa na ubaguzi.

Mama Bisimba amesema, haifai mtu akiyekalia ofisi nyeti kama ya raisi kutoa kauli za udhalilishaji kama huo. Ameshangaa kuona Magufuli mara kwa mara kuona Magufuli anamgeuza Mwanamke kama chombo cha mizaha.

Akieleza kwa umakini mkubwa, Mama Bisimba anasema watu wengi wanashangazwa na tabia hii ya Magufuli hadi wanajiuliza, huyu mzee ana shida gani na wanawake?.

Mama Bisimba akatolea mfano, namna Magufuli alivyokuwa akielezea uamuzi wake wa kumchagua Mama Samia Suluhu kuwa mgombea wake alipotoa kauli kuwa kwanza huyo mama ni mweupe mweupe

Maelezo haya ya mama Kijo yanafuatia kauli ya juzi ya Rais Magufuli aliposema kuwataka wananchi wamchague mgombea ubunge mwanamama mmoja wa Dar ambapo alisema yeye hutoa ushirikiano mzuri wa kikazi kwa wanawake weupe na siyo wanawake weusi.

Kabla ya hapo alipokuwa huko mkoani Magufuli alisikika kwenye mkutano wa kampeni akisema kuwa atafutiwe kasichana kadogokadogo!

Huko nyuma amewahi kutoa kauli kuwa kama watu wa mikoa ya kusini wangeanzisha sintofahamu juu ya suala la Korosho, basi ambacho angeanza nacho ni kupiga shangazi zao ( yaani wanawake)

Wakati huohuo, mpinzani mkubwa wa Magufuli katika uchaguzi mkuu huu ndugu Tundu Lissu, ameendelea kuhoji kauli hizi za Magufuli, Lissu anahoji kauli ya Magufuli siku chache kabla ya kampeni pale Magufuli alipopewa jogoo akiwa njiani kutokea Lupaso, na kwa mizaha akamwambia yule mzee aliyempa jogoo kuwa laiti angekuwa nyumbani kwao huko Chato angemuozesha mama yake. Kauli hii imeleta mjadala mkubwa kwenye mitandao ya kijamii na watu wengi wameonyesha kutoifurahia kauli hiyo. Iweje mtoto awe mshenga au kuwadi wa mama yake?

MY TAKE:

Rais Magufuli aache kutoa kauli za mizaha na utaniutani juu ya wanawake. Hawa ni mama zetu, ni dada zetu, ni bibi zetu, ni wake zetu, ni dada zetu), wanastahili kuheshimiwa. Si sahihi kila wakati akishika mike basi anaanza kutoa kauli tata kuhusu mwanamke.

Kuwa kwake msukuma, au kutokea kwenye background ya jamii ya mfumo dume hakumpi uhalali kumgeuza mwanamke kama mwanasesere wa kufanyia mizahamizaha.

Yeye ni mtu mkubwa sana katika nchi, na ofisi yake ni kubwa sana. Kauli zake si tu zinaweza kuathiri wanawake humu nchini, bali zinaweza kuathiri mtu mweusi yeyote duniani kwa kuendelea kubaguliwa sababu ya rangi ya ngozi yake.

Pia kuwa raisi haimaanishi anamiliki kila mtu na kwamba anaweza kusema lolote na chochote mahali popote na eti ikawa chereko tu, hapana tunataka mtu anayekalia kiti cha rais apime kauli zake, aangalie athari yake kwa jamii kuanzia watoto wadogo hadi wazima, atazame muktadha mzima wa mahusiano ya kijamii nchini na hadi kimataifa ndo aamue kuzungumza au kuacha!. Siyo kila kitu chafaa kwa utani!

Tumewahi kuwa na maraisi wanne kabla yake, na walikuwa wakifanya utani wa hapa na pale katika mazingira muafaka, lakini hawakwenda mbali huko anakokwenda Magufuli kwenye utani juu ya utu wa mtu na rangi za ngozi.

Magufuli anaonyesha "obsession" iliyopitiliza kwenye issue za wanawake, na hili kusema kweli halifai kwa mtu mwenye hadhi nafasi ya ofisi yako hiyo!.

Hapa chini ni kauli za mama Kijo Bisimba:

View attachment 1599407
Huyu mama si ndo alitukashifu wanaume kwamba hatujui kutongoza? Ngoma drop akae kimya!
 
Sidhani kama muheshiwa kama huwa anafanya utani kwa nia ya kuwadhalilisha wanawake mi naona mda mwingi huwa anawasifia na kisifia mtu ni jambo jema..

Sasa kwa wale ambao wanashupalia hili swala naona kama ndio wanawadhalilisha wanawake kwa kujaribu kugeuza maana na utani alioumanidha Raisi. Tunajua watanzania tumekuwa na muingiliano na maelewano kwa ajili ya utani, sasa kuna ubaya gani kwa Rais kufanya utani na wananchi wake?
 
Pussycat's president......hana haiba ya kuendelea kuwa rais..mdhalilishaji wa wanawake,mbaguzi,msema hovyo,muongo muongo n.k kwa kweli Tz tumepatikana.
 
Si ndo naangalia movie yenyewe. Have a tolerance mkuu that is the main and most improtant feature of multiparty system.
Kama unapenda movies sasa unafanya nini hapa?Umefikia hatua ya kujidanganya mwenyewe?
 
Halafu anawadanganya wana Mbeya wamchagulie Tulia ili awe anapeleka matatizo yao. Kumbe akina mangara kama Tulia huwa hawasikilizi kabisa.
Magufuli hawezi msikiliza Tulia kwa ule weusi wake. Magufuli kaweka wazi anasikiliza wanawake weupe tu
 
Mwanamama mtetezi wa siku nyingi wa haki za binadamu hususan za wanawake mama Kijo Bisimba, amelaani vikali kauli za Rais Magufuli anazozitoa mara kwa mara juu ya wanawake.

Akihojiwa na redio moja ya nje, Mama Bisimba amesema, kauli hizo za Magufuli zisichukuliwe kimizaha mizaha kwa sababu hizo kauli zinaweza kupelekea unyanyasaji mkubwa na ubaguzi.

Mama Bisimba amesema, haifai mtu akiyekalia ofisi nyeti kama ya raisi kutoa kauli za udhalilishaji kama huo. Ameshangaa kuona Magufuli mara kwa mara kuona Magufuli anamgeuza Mwanamke kama chombo cha mizaha.

Akieleza kwa umakini mkubwa, Mama Bisimba anasema watu wengi wanashangazwa na tabia hii ya Magufuli hadi wanajiuliza, huyu mzee ana shida gani na wanawake?.

Mama Bisimba akatolea mfano, namna Magufuli alivyokuwa akielezea uamuzi wake wa kumchagua Mama Samia Suluhu kuwa mgombea wake alipotoa kauli kuwa kwanza huyo mama ni mweupe mweupe

Maelezo haya ya mama Kijo yanafuatia kauli ya juzi ya Rais Magufuli aliposema kuwataka wananchi wamchague mgombea ubunge mwanamama mmoja wa Dar ambapo alisema yeye hutoa ushirikiano mzuri wa kikazi kwa wanawake weupe na siyo wanawake weusi.

Kabla ya hapo alipokuwa huko mkoani Magufuli alisikika kwenye mkutano wa kampeni akisema kuwa atafutiwe kasichana kadogokadogo!

Huko nyuma amewahi kutoa kauli kuwa kama watu wa mikoa ya kusini wangeanzisha sintofahamu juu ya suala la Korosho, basi ambacho angeanza nacho ni kupiga shangazi zao ( yaani wanawake)

Wakati huohuo, mpinzani mkubwa wa Magufuli katika uchaguzi mkuu huu ndugu Tundu Lissu, ameendelea kuhoji kauli hizi za Magufuli, Lissu anahoji kauli ya Magufuli siku chache kabla ya kampeni pale Magufuli alipopewa jogoo akiwa njiani kutokea Lupaso, na kwa mizaha akamwambia yule mzee aliyempa jogoo kuwa laiti angekuwa nyumbani kwao huko Chato angemuozesha mama yake. Kauli hii imeleta mjadala mkubwa kwenye mitandao ya kijamii na watu wengi wameonyesha kutoifurahia kauli hiyo. Iweje mtoto awe mshenga au kuwadi wa mama yake?

MY TAKE:

Rais Magufuli aache kutoa kauli za mizaha na utaniutani juu ya wanawake. Hawa ni mama zetu, ni dada zetu, ni bibi zetu, ni wake zetu, ni dada zetu), wanastahili kuheshimiwa. Si sahihi kila wakati akishika mike basi anaanza kutoa kauli tata kuhusu mwanamke.

Kuwa kwake msukuma, au kutokea kwenye background ya jamii ya mfumo dume hakumpi uhalali kumgeuza mwanamke kama mwanasesere wa kufanyia mizahamizaha.

Yeye ni mtu mkubwa sana katika nchi, na ofisi yake ni kubwa sana. Kauli zake si tu zinaweza kuathiri wanawake humu nchini, bali zinaweza kuathiri mtu mweusi yeyote duniani kwa kuendelea kubaguliwa sababu ya rangi ya ngozi yake.

Pia kuwa raisi haimaanishi anamiliki kila mtu na kwamba anaweza kusema lolote na chochote mahali popote na eti ikawa chereko tu, hapana tunataka mtu anayekalia kiti cha rais apime kauli zake, aangalie athari yake kwa jamii kuanzia watoto wadogo hadi wazima, atazame muktadha mzima wa mahusiano ya kijamii nchini na hadi kimataifa ndo aamue kuzungumza au kuacha!. Siyo kila kitu chafaa kwa utani!

Tumewahi kuwa na maraisi wanne kabla yake, na walikuwa wakifanya utani wa hapa na pale katika mazingira muafaka, lakini hawakwenda mbali huko anakokwenda Magufuli kwenye utani juu ya utu wa mtu na rangi za ngozi.

Magufuli anaonyesha "obsession" iliyopitiliza kwenye issue za wanawake, na hili kusema kweli halifai kwa mtu mwenye hadhi nafasi ya ofisi yako hiyo!.

Hapa chini ni kauli za mama Kijo Bisimba:

View attachment 1599407
Asishangae pale Umoja wa Wanawake wa CCM watakapotoa tamko kumlaani yeye kwani hizi ndizo lugha zao CCM.
 
Ninashangaa watu wengi wameshikilia kumlaani ama kumpinga Magufuli kuhusu kauli zake za kudhalilishaji wanawake weusi! Kwa kauli zake za hadharani kuhusu rangi ya ngozi au maumbo ya mwanamke iwe ni nyeusi au nyeupe ni UDHALILISHAJI wa mwanamke kwa jumla. Katika akili zake ambazo haziendani na hiyo PhD tunayoambiwa anayo, mwanamke ni 'object' tu ya kufanyia utani!! Ajabu ya jamii ya kitanzania utasikia wanawake wenyewe wanaokaangwa kama objects (including waliosoma sana) wanashangilia, wanapiga vigelegele, wako mitandaoni kutetea kwa nguvu zote upumbavu huu eti ni utani, eti hiyo ndio mitazamo ya Wasukuma, nk!!!! Please, give me a break - huyu jamaa ni katili na anachofanya ni ukatili wa kijinsia. Wanawake wenye welewa kama mama Bisimba amkeni na mmnyime kura kwa udhalilishaji wa kijinsia. Mama Janeth Magufuri nenda ukapige kura ya "uhuru, haki, na maendeleo ya watu".
 
Back
Top Bottom