Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya mengine hayamsaidii Magufuli zaidi yawadhalilisha tu wote ccm na magufuli wake. Mama ana manyama kama kitimoto halafu eti unasema magufulika
Maufunguo Yuko hospital nairobi hoi
Ndo nani?
Mh! kina mme kweli?kimama fulani hivi hapa town kina hela chafu
Yaani sielewi kabisa, kuna kupanick flani hivi nakuona na kuishiwa mbinu za ushindi, hivi kweli pushup ndio kipaumbele? Karne hii?
Ukakamavu wa mwili unaendana na ukakamavu wa akiliapo nd unapata kujua n jinsi gan nafasi inatafutwa ila hain maan yoyote ktk uongozi kwan kinachotzamwa n maamuz n sio mkakamavu kiasi gan..
ukakamavu wa mwili unaendana na ukakamavu wa akili
![]()
mama lorah akifanya magufulika, huku lowassa na ukawa wakiweweseka. Ccm imejaa watu shupavu na walio tayari kulingoza taifa la tanzania.
Hongera mama kwa kumsambaratisha lowassa kwa magufulika.