Mama Lorah apiga push up kumuunga mkono Magufuli

Mama Lorah apiga push up kumuunga mkono Magufuli

Ukawa wana weweseka tu. Mama kawashinda.
 
Haya mengine hayamsaidii Magufuli zaidi yawadhalilisha tu wote ccm na magufuli wake. Mama ana manyama kama kitimoto halafu eti unasema magufulika

Yaani sielewi kabisa, kuna kupanick flani hivi nakuona na kuishiwa mbinu za ushindi, hivi kweli pushup ndio kipaumbele? Karne hii?
 
apo nd unapata kujua n jinsi gan nafasi inatafutwa ila hain maan yoyote ktk uongozi kwan kinachotzamwa n maamuz n sio mkakamavu kiasi gan..
 
Ningekua na mzee wangu anagombea ubunge kupitia ccm ningempa mashart kabisa ni marufuku kuleta upuuzi na upumbafu wa aina hiyo kwenye majukwaa ña kama hatoweza heri aachane na uo ubunge
 
Yaani sielewi kabisa, kuna kupanick flani hivi nakuona na kuishiwa mbinu za ushindi, hivi kweli pushup ndio kipaumbele? Karne hii?



Hapo ndio pale Mzee Kingunge alipopasemea kuwa CCM wameishiwa pumzi.
 
mm ni mwana ccm damu lkn lowasa na mzee kingunge ameniumiza sana
 
mama.jpg



mama lorah akifanya magufulika, huku lowassa na ukawa wakiweweseka. Ccm imejaa watu shupavu na walio tayari kulingoza taifa la tanzania.

Hongera mama kwa kumsambaratisha lowassa kwa magufulika.

picha hii tamu lakini.. Hapa anaisikilizia inavyopenya.. Aisee wallakh ukiangalia pale kati- keshalowa.. !!DA AISEE MAMA KAJIDHALILISHA MWENYEWE..!AIBU YA KARNE..!
 
Back
Top Bottom