Utotole
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,607
- 4,263
Hatutafuti mtu wa kwenda Peponi au motoni hapa tunamtafuta Rais na Amiri Jeshi mkuu, nenda kalielie na wenzako huko kwenu tuachieni Taifa letu listawi na Magufuli mtu wa kazi
Wa kulia siyo mimi, ni wewe. Sisi tunasonga mbele na ENL..ninyi agenda yenu kila siku ni afya yake. Hatuwashawishi kumchagua, tutamchagua sisi na ninyi chagueni comedian wenu.
CCM haina mpango wa kustawisha taifa, bali kuzidi kulidhoofisha kama ilivyofanya kwa zaidi ya nusu karne. CCM ni mradi wa kustawisha familia za wakubwa na kudhoofisha maisha ya watanzania wengine.
Maisha bora kwa kila mtanzania my foot! JMK alidanganya wadanganyika, sasa miaka 10 baadaye anaondoka na maisha bora kwa familia yake tu na washikaji wake wa njia kuu na njia za pembeni!