Mama Lorah apiga push up kumuunga mkono Magufuli

Mama Lorah apiga push up kumuunga mkono Magufuli

Hatutafuti mtu wa kwenda Peponi au motoni hapa tunamtafuta Rais na Amiri Jeshi mkuu, nenda kalielie na wenzako huko kwenu tuachieni Taifa letu listawi na Magufuli mtu wa kazi

Wa kulia siyo mimi, ni wewe. Sisi tunasonga mbele na ENL..ninyi agenda yenu kila siku ni afya yake. Hatuwashawishi kumchagua, tutamchagua sisi na ninyi chagueni comedian wenu.

CCM haina mpango wa kustawisha taifa, bali kuzidi kulidhoofisha kama ilivyofanya kwa zaidi ya nusu karne. CCM ni mradi wa kustawisha familia za wakubwa na kudhoofisha maisha ya watanzania wengine.

Maisha bora kwa kila mtanzania my foot! JMK alidanganya wadanganyika, sasa miaka 10 baadaye anaondoka na maisha bora kwa familia yake tu na washikaji wake wa njia kuu na njia za pembeni!
 
Haya Baba . Lorah umesomeka....

mama.jpg

Mama Lorah akifanya MAGUFULIKA, huku Lowassa na UKAWA wakiweweseka. CCM imejaa watu shupavu na walio tayari kulingoza Taifa la Tanzania.

Hongera Mama kwa kumsambaratisha Lowassa kwa Magufulika.
 
Huyu mama anajidhalilisha tu hapo hakuna cha maana kitakachomfanya mwananchi wa kawaida kubadili kura yake.
Hopeless CCM.
 
Mbona hatuoni kwenye nchi zilizo endelea na hata Kenyatta hatukumuona akifanya mambo kama haya hata watanglizi wa Magufuli kama Mkapa na Kikwete hawakuwahi fanya vitu kama hivi na pia alipo kuwa anasaka ubunge siku za nyuma mbona hakupiga push up

Kila kitu mpaka tuige????lini tutagundua vyetu....
Yani tudese hadi Kenya? Tudese na mbwembwe za majukwaani...? ni kiwango cha juu sana cha kujidharau
 
[h=3]
mama.jpg
[/h]
Mama Lorah akifanya MAGUFULIKA, huku Lowassa na UKAWA wakiweweseka. CCM imejaa watu shupavu na walio tayari kulingoza Taifa la Tanzania.

Hongera Mama kwa kumsambaratisha Lowassa kwa Magufulika.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[h=3]
mama.jpg
[/h]
Mama Lorah akifanya MAGUFULIKA, huku Lowassa na UKAWA wakiweweseka. CCM imejaa watu shupavu na walio tayari kulingoza Taifa la Tanzania.

Hongera Mama kwa kumsambaratisha Lowassa kwa Magufulika.
Hii nchi upuuzi mwingi sana
 
[h=3]
mama.jpg
[/h]
Mama Lorah akifanya MAGUFULIKA, huku Lowassa na UKAWA wakiweweseka. CCM imejaa watu shupavu na walio tayari kulingoza Taifa la Tanzania.

Hongera Mama kwa kumsambaratisha Lowassa kwa Magufulika.
Nchi imepitia mengi sana. Haya kwa sasa Mama Lorah yuko wapi?
 
Back
Top Bottom