Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
watu wanadhani wanaweza kupata amani ya moyo kwa kutumia pesa, mali walizonazo etc.....faraja ya kweli inatoka kwa Mungu inatoka kwa Yesu....alituahidi pale msalabani kwa kupigwa kwake sisi tumepona.....amtumainie Bwana ni kama mlima sayuni atatikisika milele......
Kuna siku mama yangu aliniambia, sisi wazazi huwa tunaumia zaidi na kupata uchungu mkubwa pale watoto wetu wanapofanya uovu au kusemewa maneno mabaya
Amen.. Tujifunze zaidi kumtafuta Mungu kuliko shetani, lulu uko ulipo usijali tupo pamoja tunakuombea
Watu wanamwandama?
Aache kutamani maisha ya juu kuliko uwezo wake aone kama ataandamwa.
Anapenda maisha ya juu na showoff so lazima afakamie baba zake, hapo kweli atakoswa kuongelewa?
Nawewe mama fanya kazi acha kumuuza mwanao.
ni kweli hakuna kitu ambacho mzazi kinamuumiza kama kuona mwanae anafanya madudu.......kama mama kweli lazma utasikia tumbo la uzazi linauma....matendo mabaya ya mtoto yanaumiza sana kwa mzazi.....
pale mama yake angekuwa mpenda kusali....ilibidi amweke mwanae kwenye maombi yatupasa kuwaombea watoto wetu......haya mabalaa yasimuandame......
Umaarufu wake unamponza, mbona kuna wasanii apa bongo wa kiume wanaishi na wanaume wenzao kama mke na mume na baadhi ya wasanii wanaitana mashemeji kisa pesa, si afadhali lulu mwanamke, kuna watu wanafanya uchafu mpaka ukisikia unatamani kulia
Aliongea kwa hisia, akasema siku ukiwa mzazi utaelewa.... hajui kama nina ki warumi junior kule kimbiji
mama lulu si mzazi yule....mzazi wa kweli hauwezi kumwacha mwanao katika mateso vile......mana anayopitia lulu mama yake kayasababisha....