Mama Lulu atamani mwanaye afe tu

Mama Lulu atamani mwanaye afe tu

Haya yetu macho na masikio,naona anamsafisha mwanae ili apate danga lingine la kumchuna
 
Siku hizi haramu zote zimekuwa halali...
Haya mambo yalikuwepo zamani lakini yalikuwa yanachukuliwa kuwa mambo ya aibu...
Siku hizi ni sifa...
Na kwa sababu hiyo hata wale ambao wasingeingia kwenye hizi tabia wamekuwa hawajiulizi mara mbili...
Hakuna wa kushangaa...

Tena unawesa kushangawa ukiongelea sijui morals sijui nini...utaitwa mshamba au una wivu....

Tusubiri garika tu...

Hata kama angetamka kuwa anamkanya lulu kuhusu tabia yake, ila kitendo cha kuishi nyumba ambayo analipia hawara wa mtoto wako tena mume wa mtu ni uthibitisho tosha kuwa anahusika kumpotosha mwanae...

Ila kwa sasa familia nyingi tu mmoja kati ya mtoto kwenye familia akibahatika kupata mwanaume mwenye pesa, sidhani kama mzazi atamkataa huyo mwanaume haijalishi mume wa mtu au lah, huo udhaifu upo kwa wazazi wengi tu sana, pesa mbaya, kinachomponza lulu na mama yake ni UMAARUFU TU. kuna familia zinafanikiwa kupitia wanaume wa watoto au wanawake zao, ni kawaida sana kwa sasa ingawa kwa macho ya mungu haipendezi ila kibinadamu kwa kweli udhaifu kwenye pesa tunao
 
Kajiongelesha tu wakiwa na mwanae wanapanga kabisaaa kua danga hili linafaa na lile halifaiiii
 
huyo Mungu ndio huwa anamwambia afanye hayo
Mashauzi yanataka pesa.... itabidi atuliw tu
 
Nmeshangaa sana Kumbe hata mzaz amjui mwanawe?,..
Kwan mtt wake ni Elizabeth Michael au lulu?.... Maajabu hadi jina la mwanawe halijui
 
Yaani mtu apore wame za watu jamii ikae kimya tu? We mama vipi
 
umekumbuka kusali sana sshv eee unaomba huruma ya watu tu hamna lolote
 
Kajiongelesha tu wakiwa na mwanae wanapanga kabisaaa kua danga hili linafaa na lile halifaiiii

Ahahah nazijua hizo, kuna movie ya ray na lulu ya woman of principle, ile movie lulu alicheza haswa, haya yote yanayomtokea kwenye ile movie ilikuwa hvyo hvyo
 
Ahahah nazijua hizo, kuna movie ya ray na lulu ya woman of principle, ile movie lulu alicheza haswa, haya yote yanayomtokea kwenye ile movie ilikuwa hvyo hvyo

Yani pale ndo alionesha jinsi alivo hodari wa kuhudumiwa na waume za watu.
 
Watu wanamwandama?
Aache kutamani maisha ya juu kuliko uwezo wake aone kama ataandamwa.
Anapenda maisha ya juu na showoff so lazima afakamie baba zake, hapo kweli atakoswa kuongelewa?
Nawewe mama fanya kazi acha kumuuza mwanao.

Hakuja dom nlikua namsubiria n barua y posa😃😃😃
 
Hata kama angetamka kuwa anamkanya lulu kuhusu tabia yake, ila kitendo cha kuishi nyumba ambayo analipia hawara wa mtoto wako tena mume wa mtu ni uthibitisho tosha kuwa anahusika kumpotosha mwanae...

Ila kwa sasa familia nyingi tu mmoja kati ya mtoto kwenye familia akibahatika kupata mwanaume mwenye pesa, sidhani kama mzazi atamkataa huyo mwanaume haijalishi mume wa mtu au lah, huo udhaifu upo kwa wazazi wengi tu sana, pesa mbaya, kinachomponza lulu na mama yake ni UMAARUFU TU. kuna familia zinafanikiwa kupitia wanaume wa watoto au wanawake zao, ni kawaida sana kwa sasa ingawa kwa macho ya mungu haipendezi ila kibinadamu kwa kweli udhaifu kwenye pesa tunao

Binamu mama yke alikua hawara w baba lulu sasa mtoto nae karithi cku zote harufu y tunda sawa na mti wake
 
Kumchuma marehemu kumeisha sasa hawana cha kufikiria bali kujichafua...si angesema kwa sababu gani anamwachia alale na waume za watu na yeye anakaa kitako na kuwafungulia milango

So akifa ndio atapumzika kweli...duh kuombea mtoto wake afe au ndio kujatibu kuzima aibu ya kumsaidia kulala na waume wa watu?
 
Unasema kweli bora afe au una beep fire? Kwanini usimpe sumu unasema tuu...
 
Nakumbuka lulu alisema take one anafuraia mama ake akikaa bila kufanya kitu ,yeye anataka amhudumie kila kitu

Na pesa za ndoa za watu, kwani wake zao wamekaa kimya nao wanasali.

Wakatubu hao
 
Ahahah nazijua hizo, kuna movie ya ray na lulu ya woman of principle, ile movie lulu alicheza haswa, haya yote yanayomtokea kwenye ile movie ilikuwa hvyo hvyo

Sijawahi kuiona hiyooo
 
Hakuja dom nlikua namsubiria n barua y posa😃😃😃

Haaa! Huogopi kutangulia mbele za haki? Tena ww utakufa kifo kibaya watakukata kichwa kabisaa😀😀
Just kidding!

Binamu mama yke alikua hawara w baba lulu sasa mtoto nae karithi cku zote harufu y tunda sawa na mti wake

Ama kweli mtoto wa nyoka ni nyoka.
 
Back
Top Bottom