Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maneno uumba Lulu muda si mrefu atawafata aliowatanguliza.
Hata kama angetamka kuwa anamkanya lulu kuhusu tabia yake, ila kitendo cha kuishi nyumba ambayo analipia hawara wa mtoto wako tena mume wa mtu ni uthibitisho tosha kuwa anahusika kumpotosha mwanae...
Ila kwa sasa familia nyingi tu mmoja kati ya mtoto kwenye familia akibahatika kupata mwanaume mwenye pesa, sidhani kama mzazi atamkataa huyo mwanaume haijalishi mume wa mtu au lah, huo udhaifu upo kwa wazazi wengi tu sana, pesa mbaya, kinachomponza lulu na mama yake ni UMAARUFU TU. kuna familia zinafanikiwa kupitia wanaume wa watoto au wanawake zao, ni kawaida sana kwa sasa ingawa kwa macho ya mungu haipendezi ila kibinadamu kwa kweli udhaifu kwenye pesa tunao
Aliongea kwa hisia, akasema siku ukiwa mzazi utaelewa.... hajui kama nina ki warumi junior kule kimbiji
Kajiongelesha tu wakiwa na mwanae wanapanga kabisaaa kua danga hili linafaa na lile halifaiiii
Ahahah nazijua hizo, kuna movie ya ray na lulu ya woman of principle, ile movie lulu alicheza haswa, haya yote yanayomtokea kwenye ile movie ilikuwa hvyo hvyo
Watu wanamwandama?
Aache kutamani maisha ya juu kuliko uwezo wake aone kama ataandamwa.
Anapenda maisha ya juu na showoff so lazima afakamie baba zake, hapo kweli atakoswa kuongelewa?
Nawewe mama fanya kazi acha kumuuza mwanao.
Hata kama angetamka kuwa anamkanya lulu kuhusu tabia yake, ila kitendo cha kuishi nyumba ambayo analipia hawara wa mtoto wako tena mume wa mtu ni uthibitisho tosha kuwa anahusika kumpotosha mwanae...
Ila kwa sasa familia nyingi tu mmoja kati ya mtoto kwenye familia akibahatika kupata mwanaume mwenye pesa, sidhani kama mzazi atamkataa huyo mwanaume haijalishi mume wa mtu au lah, huo udhaifu upo kwa wazazi wengi tu sana, pesa mbaya, kinachomponza lulu na mama yake ni UMAARUFU TU. kuna familia zinafanikiwa kupitia wanaume wa watoto au wanawake zao, ni kawaida sana kwa sasa ingawa kwa macho ya mungu haipendezi ila kibinadamu kwa kweli udhaifu kwenye pesa tunao
Nakumbuka lulu alisema take one anafuraia mama ake akikaa bila kufanya kitu ,yeye anataka amhudumie kila kitu
Ahahah nazijua hizo, kuna movie ya ray na lulu ya woman of principle, ile movie lulu alicheza haswa, haya yote yanayomtokea kwenye ile movie ilikuwa hvyo hvyo
Hakuja dom nlikua namsubiria n barua y posa😃😃😃
Binamu mama yke alikua hawara w baba lulu sasa mtoto nae karithi cku zote harufu y tunda sawa na mti wake