Mama Lulu atamani mwanaye afe tu

Mama Lulu atamani mwanaye afe tu

watu wanadhani wanaweza kupata amani ya moyo kwa kutumia pesa, mali walizonazo etc.....faraja ya kweli inatoka kwa Mungu inatoka kwa Yesu....alituahidi pale msalabani kwa kupigwa kwake sisi tumepona.....amtumainie Bwana ni kama mlima sayuni atatikisika milele......

Kuna siku mama yangu aliniambia, sisi wazazi huwa tunaumia zaidi na kupata uchungu mkubwa pale watoto wetu wanapofanya uovu au kusemewa maneno mabaya
 
Watu wanamwandama?
Aache kutamani maisha ya juu kuliko uwezo wake aone kama ataandamwa.
Anapenda maisha ya juu na showoff so lazima afakamie baba zake, hapo kweli atakoswa kuongelewa?
Nawewe mama fanya kazi acha kumuuza mwanao.
 
Kuna siku mama yangu aliniambia, sisi wazazi huwa tunaumia zaidi na kupata uchungu mkubwa pale watoto wetu wanapofanya uovu au kusemewa maneno mabaya

ni kweli hakuna kitu ambacho mzazi kinamuumiza kama kuona mwanae anafanya madudu.......kama mama kweli lazma utasikia tumbo la uzazi linauma....matendo mabaya ya mtoto yanaumiza sana kwa mzazi.....
 
Kinachomponza huyu lulu ni umaarufu wake kama ufuska ambao mnamsingizia mbona wengi wanafanya tu. Acheni wivu
 
Amen.. Tujifunze zaidi kumtafuta Mungu kuliko shetani, lulu uko ulipo usijali tupo pamoja tunakuombea

pale mama yake angekuwa mpenda kusali....ilibidi amweke mwanae kwenye maombi yatupasa kuwaombea watoto wetu......haya mabalaa yasimuandame......
 
Katika hali ya kawaida uyu binti alitakiwa atulie baada ya msala wa Kanumba ila ndio kama kachochewa sidhani kama kuna msala unaweza kumshtua tena ashakomaa kama vipi acha aendelee tu na maisha yake.
 
Watu wanamwandama?
Aache kutamani maisha ya juu kuliko uwezo wake aone kama ataandamwa.
Anapenda maisha ya juu na showoff so lazima afakamie baba zake, hapo kweli atakoswa kuongelewa?
Nawewe mama fanya kazi acha kumuuza mwanao.

Nakumbuka lulu alisema take one anafuraia mama ake akikaa bila kufanya kitu ,yeye anataka amhudumie kila kitu
 
Iko mbaya gani kama akiamua kuolewa na mtu wa kawaida kabisa na arejee kwa MOLA wake kikweli.
 
ni kweli hakuna kitu ambacho mzazi kinamuumiza kama kuona mwanae anafanya madudu.......kama mama kweli lazma utasikia tumbo la uzazi linauma....matendo mabaya ya mtoto yanaumiza sana kwa mzazi.....

Aliongea kwa hisia, akasema siku ukiwa mzazi utaelewa.... hajui kama nina ki warumi junior kule kimbiji
 
pale mama yake angekuwa mpenda kusali....ilibidi amweke mwanae kwenye maombi yatupasa kuwaombea watoto wetu......haya mabalaa yasimuandame......

Umaarufu wake unamponza, mbona kuna wasanii apa bongo wa kiume wanaishi na wanaume wenzao kama mke na mume na baadhi ya wasanii wanaitana mashemeji kisa pesa, si afadhali lulu mwanamke, kuna watu wanafanya uchafu mpaka ukisikia unatamani kulia
 
pesa hizi ndiyo maana pesa inaitwa shetani....mana kuna watu wanafanya mambo ya ajabu kisa pesa.....Mungu awarehemu watoto wetu.....
 
Aliongea kwa hisia, akasema siku ukiwa mzazi utaelewa.... hajui kama nina ki warumi junior kule kimbiji

mama lulu si mzazi yule....mzazi wa kweli hauwezi kumwacha mwanao katika mateso vile......mana anayopitia lulu mama yake kayasababisha....
 
mama lulu si mzazi yule....mzazi wa kweli hauwezi kumwacha mwanao katika mateso vile......mana anayopitia lulu mama yake kayasababisha....

Hata kama angetamka kuwa anamkanya lulu kuhusu tabia yake, ila kitendo cha kuishi nyumba ambayo analipia hawara wa mtoto wako tena mume wa mtu ni uthibitisho tosha kuwa anahusika kumpotosha mwanae...

Ila kwa sasa familia nyingi tu mmoja kati ya mtoto kwenye familia akibahatika kupata mwanaume mwenye pesa, sidhani kama mzazi atamkataa huyo mwanaume haijalishi mume wa mtu au lah, huo udhaifu upo kwa wazazi wengi tu sana, pesa mbaya, kinachomponza lulu na mama yake ni UMAARUFU TU. kuna familia zinafanikiwa kupitia wanaume wa watoto au wanawake zao, ni kawaida sana kwa sasa ingawa kwa macho ya mungu haipendezi ila kibinadamu kwa kweli udhaifu kwenye pesa tunao
 
Ana jini mahaba lenye wivu mkubwa ndo maana linaua wanaume akaombewe kanisani kwa gwajima maana ndo kiboko ya mapepo
 
Back
Top Bottom