Mama Lulu atamani mwanaye afe tu

Kunakipindi nilipata matatizo mfurulizo,yani sikuona wakumkimbilia mwingine zaidi ya Mungu.Nilimuomba anipe faraja tuu.asikwambie mtu hela si chochote mbele za Mungu na hela kamwe haiwezi kukupa faraja.

Mungu ndiye faraja kuu na hakuna zaidi yake.
 
Mungu ana tatizo na mtu, ata dunia ikikutenga yeye yupo pamoja nawe
 
Kunakipindi nilipata matatizo mfurulizo,yani sikuona wakumkimbilia mwingine zaidi ya Mungu.Nilimuomba anipe faraja tuu.asikwambie mtu hela si chochote mbele za Mungu na hela kamwe haiwezi kukupa faraja.

Mungu ndiye faraja kuu na hakuna zaidi yake.

Mda mwingine nawaza ivi dunia hii bila mungu ingekuwaje? Mungu ni faraja kwa wote, matajiri na maskini, wachawi, malaya, majambazi ila ukitubu na kumrudia atakupa amani na faraja ya kweli
 
haka kalulu kamuombe sana mungu..ndo maana kamedumaaa kwa kuchezea miti kingali kiduchu..na badooooo atakuja kuua mtu juu ya kifua
 
Kunakipindi nilipata matatizo mfurulizo,yani sikuona wakumkimbilia mwingine zaidi ya Mungu.Nilimuomba anipe faraja tuu.asikwambie mtu hela si chochote mbele za Mungu na hela kamwe haiwezi kukupa faraja.

Mungu ndiye faraja kuu na hakuna zaidi yake.

Ukweli Mungu ni kila kitu, ile imani tu ya kuwa Mungu atatenda huleta faraja ya ajabu!
 
Yaani GT3 mpaka yakupate ya kukupata ndio umkimbilie Mungu ? Kwanini usiwe na tabia ya kumcha Mungu wakati wote; wa raha na tabu? Sasa hivi bado upo karibu na Mungu wa kweli au ndio umekacha baada ya matatizo kwisha?
 
hapa akitaka kutosemwa ni kutuliza kitenesi, kufunga mitandao yake yote anayouzia sura, kuachana kabisa na wanaume ikiwezekana ana genye amtafute maimatha amuuzie zile nyeti za umeme , awe yeye na kitabu yeye na Mungu mpaka miaka 3 hivi, amalize shule atafute ajira, usanii sasa yatosha, hakuna msanii asiyesemwa mazuri na mbaya kwa kuwa si ndio mmejifanya kioo cha jamii ni lazima wakuchungulie tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…