Mama Lulu atamani mwanaye afe tu

Mama Lulu atamani mwanaye afe tu

Kunakipindi nilipata matatizo mfurulizo,yani sikuona wakumkimbilia mwingine zaidi ya Mungu.Nilimuomba anipe faraja tuu.asikwambie mtu hela si chochote mbele za Mungu na hela kamwe haiwezi kukupa faraja.

Mungu ndiye faraja kuu na hakuna zaidi yake.
 
Yaani huyu mama kama angelijua huyo binti anaumiza mioyo ya wanawake wangapi hapa Tanzania angetubu na kumlilia Mungu, Pia akumbuke Mungu ni wa wote hivyo anapoona mtoto wake anaongelewa saana na watu anatakiwa achekeche kwanza asianze kulalamikikia watu na mitandao ya kijamii.

Angalie binti yake ameangukia wapi na amsaidie kwa upendo na ushauri, mtoto hajatimiza hata miaka 25 ana maisha ya mtu wa miaka 35, ajifikirie kwanza.

Halafu atakaje na kusubiri kulishwa na mtoto wake wa miaka 20 na halia anajua uwezo wake, mama anaonekana ni wamama wale wanaokaa kutegemea mabwana za watoto wake. Huyo Lulu angekua kaolewa mama asingekaa home kusubiri mkate kutoka kwa mkwewe, MAMA FANYA KAZI ACHA KUMTEGEMEA MTOTO AKUPE KILA KITU.

Huyo Lulu akifikisha miaka 30 wafanye sherehe ya kifamilia maana maisha yake ni sawa na mtu wa miaka 40 na yeye ana 20, akifika miaka 40 atakua na maisha ya mtu waa miaka 60. Amrudie Mungu.

Nirudieni mimi enyi wanadamu, dhambi zenu hata zikiwa nyekundu kama bendera nitazisafisha na mtakua weupe kama theruji na wala sitazikumbuka tena hizo dhambi zenu. LULU NA MAMA YAKE NAFASI IKO WAZI

Mungu ana tatizo na mtu, ata dunia ikikutenga yeye yupo pamoja nawe
 
Kunakipindi nilipata matatizo mfurulizo,yani sikuona wakumkimbilia mwingine zaidi ya Mungu.Nilimuomba anipe faraja tuu.asikwambie mtu hela si chochote mbele za Mungu na hela kamwe haiwezi kukupa faraja.

Mungu ndiye faraja kuu na hakuna zaidi yake.

Mda mwingine nawaza ivi dunia hii bila mungu ingekuwaje? Mungu ni faraja kwa wote, matajiri na maskini, wachawi, malaya, majambazi ila ukitubu na kumrudia atakupa amani na faraja ya kweli
 
haka kalulu kamuombe sana mungu..ndo maana kamedumaaa kwa kuchezea miti kingali kiduchu..na badooooo atakuja kuua mtu juu ya kifua
 
Kunakipindi nilipata matatizo mfurulizo,yani sikuona wakumkimbilia mwingine zaidi ya Mungu.Nilimuomba anipe faraja tuu.asikwambie mtu hela si chochote mbele za Mungu na hela kamwe haiwezi kukupa faraja.

Mungu ndiye faraja kuu na hakuna zaidi yake.

Ukweli Mungu ni kila kitu, ile imani tu ya kuwa Mungu atatenda huleta faraja ya ajabu!
 
Kunakipindi nilipata matatizo mfurulizo,yani sikuona wakumkimbilia mwingine zaidi ya Mungu.Nilimuomba anipe faraja tuu.asikwambie mtu hela si chochote mbele za Mungu na hela kamwe haiwezi kukupa faraja.

Mungu ndiye faraja kuu na hakuna zaidi yake.

Yaani GT3 mpaka yakupate ya kukupata ndio umkimbilie Mungu ? Kwanini usiwe na tabia ya kumcha Mungu wakati wote; wa raha na tabu? Sasa hivi bado upo karibu na Mungu wa kweli au ndio umekacha baada ya matatizo kwisha?
 
hapa akitaka kutosemwa ni kutuliza kitenesi, kufunga mitandao yake yote anayouzia sura, kuachana kabisa na wanaume ikiwezekana ana genye amtafute maimatha amuuzie zile nyeti za umeme , awe yeye na kitabu yeye na Mungu mpaka miaka 3 hivi, amalize shule atafute ajira, usanii sasa yatosha, hakuna msanii asiyesemwa mazuri na mbaya kwa kuwa si ndio mmejifanya kioo cha jamii ni lazima wakuchungulie tu.
 
Back
Top Bottom