Mama Lulu atamani mwanaye afe tu

Mama Lulu atamani mwanaye afe tu

ni kweli hakuna kitu ambacho mzazi kinamuumiza kama kuona mwanae anafanya madudu.......kama mama kweli lazma utasikia tumbo la uzazi linauma....matendo mabaya ya mtoto yanaumiza sana kwa mzazi.....

Inategemea!! mama muhuni anayemuuza mtoto wake hadharani kama afanyavyo mama Lulu,anaumia kwa lipi mwanae akisemwa kwa uovu aufanyao?!!! Mama anatakiwa kuumizwa na tabia mbaya za mwanae kabla yakuumizwa na maneno ya watu dhidi ya mwanae!! Mama Lulu anajiosha tu,ila ukweli anaujua-Lulu asipojiuza basi yeye(mama Lulu haendi chooni)
 
Huyu mama ni mjinga sana, anajua kabisa mtoto wake anatembea na waume za watu. Tena wake za hawa marehemu huwa wanamuomba msaada huyu mama amshauri mtoto wake,lakini huyu mama huwa na majibu ya jeuri na kukatisha tamaa. Nafikiri yeye kama mama amechangia kwa kiasi kikubwa mtoto wake kuwa namna alivyo. Na nahisi namna alivyo lulu ndivyo mama yake alivyokuwaga
 
Kila kona Lulu lulu lulu,Who is Lulu by the way? wabongo wakiamua kumpa mtu kick utawapenda.Kwan magazeti wamempa kick gan mpya huyu Lulu?Mi ni mgeni jaman.
 
Hata kama angetamka kuwa anamkanya lulu kuhusu tabia yake, ila kitendo cha kuishi nyumba ambayo analipia hawara wa mtoto wako tena mume wa mtu ni uthibitisho tosha kuwa anahusika kumpotosha mwanae...

Ila kwa sasa familia nyingi tu mmoja kati ya mtoto kwenye familia akibahatika kupata mwanaume mwenye pesa, sidhani kama mzazi atamkataa huyo mwanaume haijalishi mume wa mtu au lah, huo udhaifu upo kwa wazazi wengi tu sana, pesa mbaya, kinachomponza lulu na mama yake ni UMAARUFU TU. kuna familia zinafanikiwa kupitia wanaume wa watoto au wanawake zao, ni kawaida sana kwa sasa ingawa kwa macho ya mungu haipendezi ila kibinadamu kwa kweli udhaifu kwenye pesa tunao

umaarufu unawaponza wengi...hata kwenye familia watu wanataka umaarufu.......asifiwe kuwa fulani siku hizi mambo yake safi........dah Mungu atusaidie tu......
 
Inategemea!! mama muhuni anayemuuza mtoto wake hadharani kama afanyavyo mama Lulu,anaumia kwa lipi mwanae akisemwa kwa uovu aufanyao?!!! Mama anatakiwa kuumizwa na tabia mbaya za mwanae kabla yakuumizwa na maneno ya watu dhidi ya mwanae!! Mama Lulu anajiosha tu,ila ukweli anaujua-Lulu asipojiuza basi yeye(mama Lulu haendi chooni)

unachosema ni kweli si kila mzazi anaumia.......mana wengine bila maovu ya watoto wao hawaendi chooni......wamama wengine ndiyo wanawafundisha watoto umalaya au kuwa wezi......
 
Kila kona Lulu lulu lulu,Who is Lulu by the way? wabongo wakiamua kumpa mtu kick utawapenda.Kwan magazeti wamempa kick gan mpya huyu Lulu?Mi ni mgeni jaman.

Ukiwa mwenyeji utaelewa tu...
Ila kwa sasa Lulu ndio anamake headlines
 
neno 'lulu' naona linapoteza maana yake kwa huyu binti. lulu ni precious material, sasa huyu ana kipi ambacho ni precious?

Aamue moja tu kama ni kukaa single kwa mwaka mzima asikilizie upepo unaendaje, au aolewe mazima! No more drammas
 
Huyo mama Lulu anaongea pumba tupu. Anawaza kwa kutumia masaburi. Haaaa haaaaa haaaaaa uwiiiu
 
Yaani huyu mama kama angelijua huyo binti anaumiza mioyo ya wanawake wangapi hapa Tanzania angetubu na kumlilia Mungu, Pia akumbuke Mungu ni wa wote hivyo anapoona mtoto wake anaongelewa saana na watu anatakiwa achekeche kwanza asianze kulalamikikia watu na mitandao ya kijamii.

Angalie binti yake ameangukia wapi na amsaidie kwa upendo na ushauri, mtoto hajatimiza hata miaka 25 ana maisha ya mtu wa miaka 35, ajifikirie kwanza.

Halafu atakaje na kusubiri kulishwa na mtoto wake wa miaka 20 na halia anajua uwezo wake, mama anaonekana ni wamama wale wanaokaa kutegemea mabwana za watoto wake. Huyo Lulu angekua kaolewa mama asingekaa home kusubiri mkate kutoka kwa mkwewe, MAMA FANYA KAZI ACHA KUMTEGEMEA MTOTO AKUPE KILA KITU.

Huyo Lulu akifikisha miaka 30 wafanye sherehe ya kifamilia maana maisha yake ni sawa na mtu wa miaka 40 na yeye ana 20, akifika miaka 40 atakua na maisha ya mtu waa miaka 60. Amrudie Mungu.

Nirudieni mimi enyi wanadamu, dhambi zenu hata zikiwa nyekundu kama bendera nitazisafisha na mtakua weupe kama theruji na wala sitazikumbuka tena hizo dhambi zenu. LULU NA MAMA YAKE NAFASI IKO WAZI
 
huyu mama naona anasahau kua matatizo ya lulu kwa sasa yeye pia ana mchango mkubwa. wakati huyu binti mdogo anabebana na mibaba inayopaswa kumbeba mama yake, yeye kama mzazi alichukua hatua gani, zaidi ya kufurahia matunda ya uzinzi wa mwanae...?? hakuna aliyemshutumu lulu, yasemwayo hapo na ni ya kweli. mtoto mdogo kuvuruga ndoa za watu anadhani ni kitu kidogo. nasikia aliwahi kumtukana matusi ya nguoni mdogo wa mke wa marehemu ni baada tu ya kumwambia aachane na shemeji yake maana dada yake anapata tabu kwa ajili yake. juzi juzi hapa kamjibu pumba mama kanumba kwenye kumbukumbu ya marehemu mwanae. alidhani mungu kalala. sasa vimewarudi, wanalia lia hapa kutaka huruma za watu. unavuna ulichopanda, ndio wajue kama kuna mungu. Asipomrudia mungu, kama wengi wanavyoshauri hapa atakutwa na makubwa zaidi. wewe mama mzima unahamia kwenye nyumba ambayo mtoto wako aliyopangishiwa na mchepuko mwenye mke wake and you think its your right. ingekua ni yeye ana mume, halafu mume ampangishie kimada angechekelea? tumeshawachoka. alivyotoka rumande ndio ilikua kipindi kizuri kwake, kwa msaada wa mama yake, kumrudia mungu wake na kutubu, badala yake amemuumiza mama wa watu ambaye alikua kwenye ndoa yenye furaha, yote sababu ya tamaa zilizokithiri, kupenda maisha rahisi.
 
Asante Ngusekela, umeongea vyema sana. nadhani wewe ni mzazi pia. Big up...
Yaani huyu mama kama angelijua huyo binti anaumiza mioyo ya wanawake wangapi hapa Tanzania angetubu na kumlilia Mungu, Pia akumbuke Mungu ni wa wote hivyo anapoona mtoto wake anaongelewa saana na watu anatakiwa achekeche kwanza asianze kulalamikikia watu na mitandao ya kijamii.

Angalie binti yake ameangukia wapi na amsaidie kwa upendo na ushauri, mtoto hajatimiza hata miaka 25 ana maisha ya mtu wa miaka 35, ajifikirie kwanza.

Halafu atakaje na kusubiri kulishwa na mtoto wake wa miaka 20 na halia anajua uwezo wake, mama anaonekana ni wamama wale wanaokaa kutegemea mabwana za watoto wake. Huyo Lulu angekua kaolewa mama asingekaa home kusubiri mkate kutoka kwa mkwewe, MAMA FANYA KAZI ACHA KUMTEGEMEA MTOTO AKUPE KILA KITU.

Huyo Lulu akifikisha miaka 30 wafanye sherehe ya kifamilia maana maisha yake ni sawa na mtu wa miaka 40 na yeye ana 20, akifika miaka 40 atakua na maisha ya mtu waa miaka 60. Amrudie Mungu.

Nirudieni mimi enyi wanadamu, dhambi zenu hata zikiwa nyekundu kama bendera nitazisafisha na mtakua weupe kama theruji na wala sitazikumbuka tena hizo dhambi zenu. LULU NA MAMA YAKE NAFASI IKO WAZI
 
Maneno uumba Lulu muda si mrefu atawafata aliowatanguliza.

Tuposti kama hutu tunachukuliwa kimzaa mzaa! lkn tunatimiaga wakati mwingine kuna waganga humu! tumuombe Mungu baya lisitokee kila mtu ana madhambi yake hapa duniani.
 
Back
Top Bottom