Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Nataka kumtahadharisha mama yangu Mpendwa Mama Dk Angelina Mabula.
Amekaa hapo Wizara ya Ardhi kwa muda mrefu sasa lakini hajui kuwa kuna kakundi au genge la wezi na waporaji wa viwanja.
Suala linaanzia hapo kwa Msajili wa Hati. Mafaili ya viwanja yanapotezwa na kuna nyakati mafaili yanakuwa hayana nyaraka kabisa zilizotayarishwa ili kupatiwa Hati.
Wahusika wanajulikana lakini inaelekea kuna kamtandao ambako kameshindikana kuvunjwa maana kuna wakubwa wanfaidika.
Mchezo umehamia kwa sasa sehemu ambazo demand ya viwanja imekuwa kubwa, yaani Tegeta, Bagamoyo, Kibaha.
Mchezo unakuwa hivi;
-Faili hupotezwa
-hata likipatikana linakuwa halina nyaraka zozote ndani yake
-anapatikana mteja anauziwa haraka haraka kwa pesa ya juu sana na anapatiwa Hati fasta fasta
-mmiliki wa awali akiendelea kulalamika , anaambiwa asiwe na wasiwasi atapatiwa kiwanja kingine
Mchezo huu unafanyika bila haya wala soni, na bado mawaziri wetu wapo.
Hapo kwa Msajili wa Hati kuna matatizo makubwa sna.