Mama Maria Nyerere alazwa hospitali Dar

Mama Maria Nyerere alazwa hospitali Dar

Status
Not open for further replies.
Wewe ni mtoto wa.mama maria kwasababu nn wakufiche kulazwa kwa mama
 
Mama Maria Nyerere amelazwa hospitali kwa zaidi ya wiki moja sasa.
Umri wake ni 96.
Kwa hiyo tunamtakia speedy recovery.
Naona it is a big secret. Amelazwa muda mrefu lakini habari nimezipata sasa hivi.
Kwaiyo hata wewe mtoto wake ulifichwa hii taarifa ya Mama yako Mzazi kuwa mgonjwa.?
 
Mama Maria Nyerere amelazwa hospitali kwa zaidi ya wiki moja sasa.
Umri wake ni 96.
Kwa hiyo tunamtakia speedy recovery.
Naona it is a big secret. Amelazwa muda mrefu lakini habari nimezipata sasa hivi.
Mungu amsaidie awe na afya njema
 
Mama Maria Nyerere amelazwa hospitali kwa zaidi ya wiki moja sasa.
Umri wake ni 96.
Kwa hiyo tunamtakia speedy recovery.
Naona it is a big secret. Amelazwa muda mrefu lakini habari nimezipata sasa hivi.

Yaani maza kalazwa na wewe unafichwa...
 
2025 utakuwa mwaka mageuzi mengi ule mwenge uvunjwa masharti sana
 
Huenda hata hivi tunavojadili hapa tunafichwa na mengine yanayomhusu mama yetu ...tutakuja kuambiwa wakipenda wao
 
Eh Muumba.
Bado tunamuhitaji Mama wetu wa Taifa.

Umfariji na kumpatia nguvu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom