Mama Maria Nyerere alazwa hospitali Dar

Mama Maria Nyerere alazwa hospitali Dar

Status
Not open for further replies.
Mama Maria Nyerere amelazwa hospitali kwa zaidi ya wiki moja sasa.
Umri wake ni 96.
Kwa hiyo tunamtakia speedy recovery.
Naona it is a big secret. Amelazwa muda mrefu lakini habari nimezipata sasa hivi.
Samia ana mchukia KARUME na NYERERE kuliko JPM.
 
Mungu amjalie kupona kwa haraka.

Tunacho kifahamu wazee wenye umri mkubwa kiasi hiko miili yao ni madhuti sana , hivyo si punde atakuww amerejea nyumbani na afya tele.
 
Mama Maria Nyerere amelazwa hospitali kwa zaidi ya wiki moja sasa.
Umri wake ni 96.
Kwa hiyo tunamtakia speedy recovery.
Naona it is a big secret. Amelazwa muda mrefu lakini habari nimezipata sasa hivi.
LOOOoooh, Jameni.

Huu nao sasa ni utaratibu wa namna gani huu. Mtu kuumwa itakuwaje siri?

Au ni family wenyewe wameamua iwe hivyo; kwa nini?

Ama ni yeye mwenyewe mgonjwa, hataki kutangazwa taarifa za kuumwa kwake?

Sasa Mwenyezi Mungu akiamua, bado itaendelea kuwa siri?

Ni wazi kuna jambo halipo sawa hapa. Kuna makasiriko mahala, baina ya wahusika.
 
Mungu amjalie kupona kwa haraka.

Tunacho kifahamu wazee wenye umri mkubwa kiasi hiko miili yao ni madhuti sana , hivyo si punde atakuww amerejea nyumbani na afya tele.
Wewe utakuwa mtani wake.
 
Tumuombee apone ni mama mstaarabu asiye na tamaa kama waliomfuatia haswa awamu ya 4
Yule wa kuta wenza nao walipwe, mama hana haya yule, ana roho mbovu kweli kweli, yaani yeye mume mwenye mshahara wa milioni 7 sijui na marupurupu kibao, gari bure, nyumba bure na mengineyo mengi plus kaishajipigia kipindi chake, wakati kuna mtu mshahara take home ni laki 8, kuanzia malazi, mavazi, chakula, usafiri na mengineyo ni juu yake, huyu akistaafu mwenza wake hapewi chochote. Yule mama ni mtu mbinafsi na mwenye tamaa haswaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom