Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,042
- 6,854
Kwaiyo hata wewe mtoto wake ulifichwa hii taarifa ya Mama yako Mzazi kuwa mgonjwa.?Mama Maria Nyerere amelazwa hospitali kwa zaidi ya wiki moja sasa.
Umri wake ni 96.
Kwa hiyo tunamtakia speedy recovery.
Naona it is a big secret. Amelazwa muda mrefu lakini habari nimezipata sasa hivi.
Mungu amsaidie awe na afya njemaMama Maria Nyerere amelazwa hospitali kwa zaidi ya wiki moja sasa.
Umri wake ni 96.
Kwa hiyo tunamtakia speedy recovery.
Naona it is a big secret. Amelazwa muda mrefu lakini habari nimezipata sasa hivi.
Mama Maria Nyerere amelazwa hospitali kwa zaidi ya wiki moja sasa.
Umri wake ni 96.
Kwa hiyo tunamtakia speedy recovery.
Naona it is a big secret. Amelazwa muda mrefu lakini habari nimezipata sasa hivi.
Rais ametangaza leo Mzee Msuya ameleft groupKwani si kuna mzee wetu wa mwanga nae tunaambiwa ameleft ze group, au ndio habari za mitandaoni
KabisaEh Muumba.
Bado tunamuhitaji Mama wetu wa Taifa.
Umfariji na kumpatia nguvu