Samia ana mchukia KARUME na NYERERE kuliko JPM.Mama Maria Nyerere amelazwa hospitali kwa zaidi ya wiki moja sasa.
Umri wake ni 96.
Kwa hiyo tunamtakia speedy recovery.
Naona it is a big secret. Amelazwa muda mrefu lakini habari nimezipata sasa hivi.
LOOOoooh, Jameni.Mama Maria Nyerere amelazwa hospitali kwa zaidi ya wiki moja sasa.
Umri wake ni 96.
Kwa hiyo tunamtakia speedy recovery.
Naona it is a big secret. Amelazwa muda mrefu lakini habari nimezipata sasa hivi.
Utengano/mfarakano wa CCM ya kale na hii iliyopo.Rais ametangaza leo Mzee Msuya ameleft group
Sababu tayari unaijua mkuu 'Kanji kapoor', kwamba SIRI itatolewa nje kama hivi ilivyo tokea sasa.Wewe ni mtoto wa.mama maria kwasababu nn wakufiche kulazwa kwa mama
Wewe utakuwa mtani wake.Mungu amjalie kupona kwa haraka.
Tunacho kifahamu wazee wenye umri mkubwa kiasi hiko miili yao ni madhuti sana , hivyo si punde atakuww amerejea nyumbani na afya tele.
Wamevunja vipi masharti wakati nchi zima wanaukimbiza na kufungua miradi??2025 utakuwa mwaka mageuzi mengi ule mwenge uvunjwa masharti sana
Yule wa kuta wenza nao walipwe, mama hana haya yule, ana roho mbovu kweli kweli, yaani yeye mume mwenye mshahara wa milioni 7 sijui na marupurupu kibao, gari bure, nyumba bure na mengineyo mengi plus kaishajipigia kipindi chake, wakati kuna mtu mshahara take home ni laki 8, kuanzia malazi, mavazi, chakula, usafiri na mengineyo ni juu yake, huyu akistaafu mwenza wake hapewi chochote. Yule mama ni mtu mbinafsi na mwenye tamaa haswaaTumuombee apone ni mama mstaarabu asiye na tamaa kama waliomfuatia haswa awamu ya 4
miradi ya kuvunja vikoba kwenu auWamevunja vipi masharti wakati nchi zima wanaukimbiza na kufungua miradi??
Sio siri tena. He is gone at the age of 94Kwani si kuna mzee wetu wa mwanga nae tunaambiwa ameleft ze group, au ndio habari za mitandaoni
Nimekuuliza wamevunja masharti yapi?2025 utakuwa mwaka mageuzi mengi ule mwenge uvunjwa masharti sana