Uchaguzi 2020 Mama Maria Nyerere: Nimelazimishwa kuja kuongea, niliwaambia nimekuja kuongeza wingi wa watu, Mkutano wa CCM Musoma

Sijaona tatizo lolote lile kwa Mama Maria Kusimamishwa Kuongea, kwani bado ana Ushawishi wake mkubwa nchini kwa Hadhi ya Hayati Mumewe.
 
Sijaona tatizo lolote lile kwa Mama Maria Kusimamishwa Kuongea, kwani bado ana Ushawishi wake mkubwa nchini kwa Hadhi ya Hayati Mumewe.
Na amenena vyema kabisa kuwa amelazimishea kuja ajaze idadi, hivyo hakujiandaa kuongea zaidi ya kuhudhuria
 
 
mmemlisha maneno... sikiliza yote umuelewe
punguzeni kujifariji

 
Kawachana LIVE wakaamua kuzima mic 🎤
😂😂😂😂😂

 
Bibi kachomoa betri.Tukisema icho chama kimeshafika saa kumi na mbili watu wawe wanaelewa.wanaweza wakapakapaka mafuta waonekane wanang"aa na kukubalika ila ukweli nikwamba wamechoka.Uyu mama muda wake wakusimama kwenye majukwaa ya siasa ushapita kwa heshima yake alipaswa aachwe apumzike ila kwavile mambo yako mrama inabidi tu tulazimishe.
 
Kulikuwa na ulazima gani wa kumsumbua huyu mama wa taifa kwenye majukwaa? Ukiondoa umri mkubwa pia anaweza kuzungumza jambo ambalo wengine wanaweza wakamjibu halafu ikaleta sinto fahamu. Huu ni wakati wa kampeni si sawa kumsimamisha bi mkubwa kwenye majukwaa.
 
Hivi hii ishu ina ukweli wowote?
 
Mkuu hapo ndo utaamini kuwa hata wana ccm sio wote wanaipenda ccm,ona sasa aliyeivujisha hii ni mwenzenu ..dah mwaka huu mna mabalaa nyinyii..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…