GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Sijaona tatizo lolote lile kwa Mama Maria Kusimamishwa Kuongea, kwani bado ana Ushawishi wake mkubwa nchini kwa Hadhi ya Hayati Mumewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na amenena vyema kabisa kuwa amelazimishea kuja ajaze idadi, hivyo hakujiandaa kuongea zaidi ya kuhudhuriaSijaona tatizo lolote lile kwa Mama Maria Kusimamishwa Kuongea, kwani bado ana Ushawishi wake mkubwa nchini kwa Hadhi ya Hayati Mumewe.
View attachment 1559508
"Mimi kwa bahati nzuri pamoja na Wanamara wenzangu sisi ni kundi lile tulilokuja tuongeze idadi ya watu, vichwa viongozeke kwahiyo sikuja kuzungumza chochote wao walinilazimisha kwamba nizungumze nikasema sina lakuzungumza"- Mama Maria Nyerere
Baada ya ujumbe huu mgumu unaonyesha namna watu wanavyolazimishwa kufanya wasichopenda kufanya, naamini viongozi wamekereka kwa sababu polepole katamka maneno haya:
Mama tunajua una majukumu mengi, endapo ukijisikia kuondoka ondoka upo huru Mwenyekiti amekupa baraka zote.
Huyu mama nadhani ni mara ya kwanza anasimamishwa Kwenye jukwaa la kampeni. Tusiwafanyie hivi watu Hawa waliotumika kwa heshima, waacheni wabaki na heshima yao.
View attachment 1559499View attachment 1559500View attachment 1559501View attachment 1559502

Mama hataki unafiki. Nyeupe ni nyeupe sio nyekundu iliyochanganywa na nyeupe.
Amemtema Jpm bila chenga.
Kwakweli ccm ni chama hatari sanakwa ustawi wa taifa
View attachment 1559409
Huyu mama hataki siasa zenu za kumlazimisha. Mwacheni apumzike!
Safi, huyu bibi hanaga unafiki, yeye na mume wake hayati baba wa taifa nyerere hawakuwa watu wa unafiki
View attachment 1559508
"Mimi kwa bahati nzuri pamoja na Wanamara wenzangu sisi ni kundi lile tulilokuja tuongeze idadi ya watu, vichwa viongozeke kwahiyo sikuja kuzungumza chochote wao walinilazimisha kwamba nizungumze nikasema sina lakuzungumza"- Mama Maria Nyerere
Baada ya ujumbe huu mgumu unaonyesha namna watu wanavyolazimishwa kufanya wasichopenda kufanya, naamini viongozi wamekereka kwa sababu polepole katamka maneno haya:
Mama tunajua una majukumu mengi, endapo ukijisikia kuondoka ondoka upo huru Mwenyekiti amekupa baraka zote.
Huyu mama nadhani ni mara ya kwanza anasimamishwa Kwenye jukwaa la kampeni. Tusiwafanyie hivi watu Hawa waliotumika kwa heshima, waacheni wabaki na heshima yao.
View attachment 1559499View attachment 1559500View attachment 1559501View attachment 1559502
Kulikuwa na ulazima gani wa kumsumbua huyu mama wa taifa kwenye majukwaa? Ukiondoa umri mkubwa pia anaweza kuzungumza jambo ambalo wengine wanaweza wakamjibu halafu ikaleta sinto fahamu. Huu ni wakati wa kampeni si sawa kumsimamisha bi mkubwa kwenye majukwaa.View attachment 1559508
"Mimi kwa bahati nzuri pamoja na Wanamara wenzangu sisi ni kundi lile tulilokuja tuongeze idadi ya watu, vichwa viongozeke kwahiyo sikuja kuzungumza chochote wao walinilazimisha kwamba nizungumze nikasema sina lakuzungumza"- Mama Maria Nyerere
Baada ya ujumbe huu mgumu unaonyesha namna watu wanavyolazimishwa kufanya wasichopenda kufanya, naamini viongozi wamekereka kwa sababu polepole katamka maneno haya:
Mama tunajua una majukumu mengi, endapo ukijisikia kuondoka ondoka upo huru Mwenyekiti amekupa baraka zote.
Huyu mama nadhani ni mara ya kwanza anasimamishwa Kwenye jukwaa la kampeni. Tusiwafanyie hivi watu Hawa waliotumika kwa heshima, waacheni wabaki na heshima yao.
View attachment 1559499View attachment 1559500View attachment 1559501View attachment 1559502
View attachment 1559508
"Mimi kwa bahati nzuri pamoja na Wanamara wenzangu sisi ni kundi lile tulilokuja tuongeze idadi ya watu, vichwa viongozeke kwahiyo sikuja kuzungumza chochote wao walinilazimisha kwamba nizungumze nikasema sina lakuzungumza"- Mama Maria Nyerere
Baada ya ujumbe huu mgumu unaonyesha namna watu wanavyolazimishwa kufanya wasichopenda kufanya, naamini viongozi wamekereka kwa sababu polepole katamka maneno haya:
Mama tunajua una majukumu mengi, endapo ukijisikia kuondoka ondoka upo huru Mwenyekiti amekupa baraka zote.
Huyu mama nadhani ni mara ya kwanza anasimamishwa Kwenye jukwaa la kampeni. Tusiwafanyie hivi watu Hawa waliotumika kwa heshima, waacheni wabaki na heshima yao.
View attachment 1559499View attachment 1559500View attachment 1559501View attachment 1559502
Aibu sana kwakweli kwa ayo Mambo ya kigogoMama wa watu atakuwa ameambiwa kuwa Kigogo 2014 anamfumua vibaya Mama Samia huko Twitter ivyo akaona asiongee maneno mengi asije kuharibu [emoji23][emoji23][emoji23]
Namuona Madaraka anafaa zaidi...ametulua!Vipi kuhusu Makongoro?
Uwiiiiiiii....Nakufa Mimi jamanView attachment 1559409
Huyu mama hataki siasa zenu za kumlazimisha. Mwacheni apumzike!
Mkuu hapo ndo utaamini kuwa hata wana ccm sio wote wanaipenda ccm,ona sasa aliyeivujisha hii ni mwenzenu ..dah mwaka huu mna mabalaa nyinyii..Haya ndio matatizo ya hii mitandao vitoto vidogo navyo vina access ya Internet,
Watu wazima hata hatujapata tabu kumuelewa Mama Maria.
She is such a very humble person na sio mwanasiasa kama alivyokuwa mumewe ambaye ni baba wa Taifa.
Lugha za mtiririko wa kisiasa Hana mama yetu , tunampenda na tunashukuru kwa support yake.