Kwa hili nipo upande wa mama, ina maana watoto wake wote vilaza wameshindwa kuonwa kama wa wengine? Ubunge wamewanyima, wengine familia.nzima hadi wakwe wanagombea ubunge, kuna mama badala ya kutulia nyumbani ale pensheni yeye anaziba riziki za watu kwa kutaka ubunge, leo asimame aseme, mlitaka aseme nini? Mama kaonyesha mazito aliyonayo moyoni