Uchaguzi 2020 Mama Maria Nyerere: Nimelazimishwa kuja kuongea, niliwaambia nimekuja kuongeza wingi wa watu, Mkutano wa CCM Musoma

Mama wa watu atakuwa ameambiwa kuwa Kigogo 2014 anamfumua vibaya Mama Samia huko Twitter ivyo akaona asiongee maneno mengi asije kuharibu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
CCM pumzi hamna... Huko Musoma leo ,maBus ya Zakaria, malori kibao kuanzia saa 10 za alfajir yalikua nakazi ya kusomba watu kuja kuongeza idadi na vichwa kama alivosema mama Maria.

Kwa ufupi..Mama maria hajapendezwa kuona Mwinyi na watoto wake wakiendelea kula bata... Alafu yeye na wanawe wakiendelea kusomeshwa namba.

Kama kuna familia ilotakiwa kutizamwa kwa jicho kubwa ni ya Familia ya Nyerere.
 
Mama ana moyo wa kujitoka katika Chama cha Mapinduzi CCM
Naimani kwa maneno haya Dkt Magufuli anaenda kushinda uchaguzi mkuu 2020
 
Huu ndio ukweli siasa za Bongo kama unapesa au mambo yako ya msingi na bado unahudhuria kampeni ilihali ipo wazi wanapiga kampeni kwaajili ya ratiba kwani wanayoenda kuyatenda tayari wanayajua,hakuna cha maoni wala matakwa ya wananchi.....kilichobaki ni njaa zetu zinatupeleka huko....
 
Ni wazi sasa kila mtu kakichoka hiki chama. Ile tabia ya ccm kutumia watu maarufu na wenye maadili kufunika maovu yao kwenye mikutano leo imejikuta kuwa kama Mbuni kujificha kwenye mchanga ambapo kichwa huzamishwa chini na mkia juu ya ardhi.

Baada ya kumkokota Mke wa marehem Hayati Baba wa Taifa Mwl Nyerere leo kwenye mikutano ya CCM huko butyama.

Bibi Kizee huyu amekata kata kuunga mkono utawala ambao pengine haridhishwi nao. Sina shaka kuwa walimlazimisha aje kusifia ujenzi wa Flyover SGR na Stiglers. Huku Bibi huyo akijua mambo muhimu ya kitaifa yaliachwa nyuma kama kutekwa watu kiholela, kuuawa, kuteswa, kupotea, kubambikia makesi watu wasio na makosa, kufunga
, Kunyima watu ajira , kukwamisha miradi ya maendeleo kwenye majimbo ya wapinzani n.k.

Mama huyu ametamka hadharani mchana kweupe( broad daylight) kuwa kalazimishwa aje kuongea na yeye hataki.
 
Huyu Pole pole hana heshima anadhubutu kumuambia bibi yetu namna hiyo mwenye miaka 90
 
Hahaha imekula kwao. Huyo kaamua kusema hadhrani wapo wengi wanasubiri kumuumbua kwenye sanduku la m
kura.
 
Mama hataki unafiki. Nyeupe ni nyeupe sio nyekundu iliyochanganywa na nyeupe.

Amemtema Jpm bila chenga.
 
Hahahahhaa Atapata wapi lakuongea ili hali

Mzee mwinyi

Mzee mpaka

Mzee kikwete


Wao ndio familia zao zinaenziwa kuanzia vitukuuu mpaka mabazazi???
 
Mambo ya hovyo yanayoendelea labda mjinga tu ndie haoni tuna raisi wa ajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…