Ni wazi sasa kila mtu kakichoka hiki chama. Ile tabia ya ccm kutumia watu maarufu na wenye maadili kufunika maovu yao kwenye mikutano leo imejikuta kuwa kama Mbuni kujificha kwenye mchanga ambapo kichwa huzamishwa chini na mkia juu ya ardhi.
Baada ya kumkokota Mke wa marehem Hayati Baba wa Taifa Mwl Nyerere leo kwenye mikutano ya CCM huko butyama.
Bibi Kizee huyu amekata kata kuunga mkono utawala ambao pengine haridhishwi nao. Sina shaka kuwa walimlazimisha aje kusifia ujenzi wa Flyover SGR na Stiglers. Huku Bibi huyo akijua mambo muhimu ya kitaifa yaliachwa nyuma kama kutekwa watu kiholela, kuuawa, kuteswa, kupotea, kubambikia makesi watu wasio na makosa, kufunga
,
View attachment 1559382 kunyima watu ajira , kukwamisha miradi ya maendeleo kwenye majimbo ya wapinzani n.k.
Mama huyu ametamka hadharani mchana kweupe( broad daylight) kuwa kalazimishwa aje kuongea na yeye hataki.