Alafu eti kuna mbwa anataka ampe Lissu kazi ndogondogo......Wamewayima wanae hata kaubalozi tuu na kaubunge wee unafikiri moyoni atajisikiaje
Kajibu ki protokali sanaAmesema amekuja kuongeza vichwa, maaanake kumbe wanaccm wanalazimishwa kwenda kuongeza vichwa.
Ndege wafananao huruka pamoja.Kumbe ndio maana hasikiki mara kwa mara.
Nyerere alikuwa na Mke kichwa.
Ohooooo!!Ni wazi sasa kila mtu kakichoka hiki chama. Ile tabia ya ccm kutumia watu maarufu na wenye maadili kufunika maovu yao kwenye mikutano leo imejikuta kuwa kama Mbuni kujificha kwenye mchanga ambapo kichwa huzamishwa chini na mkia juu ya ardhi.
Baada ya kumkokota Mke wa marehem Hayati Baba wa Taifa Mwl Nyerere leo kwenye mikutano ya CCM huko butyama.
Bibi Kizee huyu amekata kata kuunga mkono utawala ambao pengine haridhishwi nao. Sina shaka kuwa walimlazimisha aje kusifia ujenzi wa Flyover SGR na Stiglers. Huku Bibi huyo akijua mambo muhimu ya kitaifa yaliachwa nyuma kama kutekwa watu kiholela, kuuawa, kuteswa, kupotea, kubambikia makesi watu wasio na makosa, kufunga
,View attachment 1559382 kunyima watu ajira , kukwamisha miradi ya maendeleo kwenye majimbo ya wapinzani n.k.
Mama huyu ametamka hadharani mchana kweupe( broad daylight) kuwa kalazimishwa aje kuongea na yeye hataki.
Samia kafanyaje nae?Wamepoteana, kule Samia kavuruga huku Mama nyerere kawazingua hawana hamu. Leo watalala na viatu.
Kazingua mbaya sana. Sijui nani alimuuliza kuhusu kuipigwa Lissu au ni kupaniki na nafsi kumsuta?Samia kafanyaje nae?
Nilikua siamini Kumbe kasema kweli......
Wamewayima wanae hata kaubalozi tuu na kaubunge wee unafikiri moyoni atajisikiaje
Mama linamuuma sanaHuku wao wakipeana urais, uwaziri na ubalozi.
Kwakweli familia ya mama imeonewa sanaKwa hili nipo upande wa mama, ina maana watoto wake wote vilaza wameshindwa kuonwa kama wa wengine? Ubunge wamewanyima, wengine familia.nzima hadi wakwe wanagombea ubunge, kuna mama badala ya kutulia nyumbani ale pensheni yeye anaziba riziki za watu kwa kutaka ubunge, leo asimame aseme, mlitaka aseme nini? Mama kaonyesha mazito aliyonayo moyoni
Kasema alilazimishwa huelewi nini hapo au unajifanya hamnazo.Haya ndio matatizo ya hii mitandao vitoto vidogo navyo vina access ya Internet,
Watu wazima hata hatujapata tabu kumuelewa Mama Maria.
She is such a very humble person na sio mwanasiasa kama alivyokuwa mumewe ambaye ni baba wa Taifa.
Lugha za mtiririko wa kisiasa Hana mama yetu , tunampenda na tunashukuru kwa support yake.
Leo kawaweza.Mama linamuuma sana
Hiyo ndio dawa yao na mitoto yao inatumika kisiasa hata haijielewiLeo kawaweza.
Mbona hajaongea hayo mnayowaaminisha watu kwamba kasema....Ni wazi sasa kila mtu kakichoka hiki chama. Ile tabia ya ccm kutumia watu maarufu na wenye maadili kufunika maovu yao kwenye mikutano leo imejikuta kuwa kama Mbuni kujificha kwenye mchanga ambapo kichwa huzamishwa chini na mkia juu ya ardhi.
Baada ya kumkokota Mke wa marehem Hayati Baba wa Taifa Mwl Nyerere leo kwenye mikutano ya CCM huko butyama.
Bibi Kizee huyu amekata kata kuunga mkono utawala ambao pengine haridhishwi nao. Sina shaka kuwa walimlazimisha aje kusifia ujenzi wa Flyover SGR na Stiglers. Huku Bibi huyo akijua mambo muhimu ya kitaifa yaliachwa nyuma kama kutekwa watu kiholela, kuuawa, kuteswa, kupotea, kubambikia makesi watu wasio na makosa, kufunga
,View attachment 1559382 kunyima watu ajira , kukwamisha miradi ya maendeleo kwenye majimbo ya wapinzani n.k.
Mama huyu ametamka hadharani mchana kweupe( broad daylight) kuwa kalazimishwa aje kuongea na yeye hataki.
Aisee!!!
Familia yake imesahaulika!