Uchaguzi 2020 Mama Maria Nyerere: Nimelazimishwa kuja kuongea, niliwaambia nimekuja kuongeza wingi wa watu, Mkutano wa CCM Musoma

Haya ndio matatizo ya hii mitandao vitoto vidogo navyo vina access ya Internet,

Watu wazima hata hatujapata tabu kumuelewa Mama Maria.

She is such a very humble person na sio mwanasiasa kama alivyokuwa mumewe ambaye ni baba wa Taifa.

Lugha za mtiririko wa kisiasa Hana mama yetu , tunampenda na tunashukuru kwa support yake.
 
Ni wazi sasa kila mtu kakichoka hiki chama. Ile tabia ya ccm kutumia watu maarufu na wenye maadili kufunika maovu yao kwenye mikutano leo imejikuta kuwa kama Mbuni kujificha kwenye mchanga ambapo kichwa huzamishwa chini na mkia juu ya ardhi.

Baada ya kumkokota Mke wa marehem Hayati Baba wa Taifa Mwl Nyerere leo kwenye mikutano ya CCM huko butyama.

Bibi Kizee huyu amekata kata kuunga mkono utawala ambao pengine haridhishwi nao. Sina shaka kuwa walimlazimisha aje kusifia ujenzi wa Flyover SGR na Stiglers. Huku Bibi huyo akijua mambo muhimu ya kitaifa yaliachwa nyuma kama kutekwa watu kiholela, kuuawa, kuteswa, kupotea, kubambikia makesi watu wasio na makosa, kufunga
,View attachment 1559382 kunyima watu ajira , kukwamisha miradi ya maendeleo kwenye majimbo ya wapinzani n.k.

Mama huyu ametamka hadharani mchana kweupe( broad daylight) kuwa kalazimishwa aje kuongea na yeye hataki.
Ohooooo!!
 
Nilikua siamini Kumbe kasema kweli......
Hii familia umetemgwa sn na ccm sijui ndio zile hotuba za maendeleo ya watu na zile udikteta au zile za ccm sio mama wala baba yangu alizotoaga Mwl ndo zulinawasumbua sana ccm??
 
Kwa hili nipo upande wa mama, ina maana watoto wake wote vilaza wameshindwa kuonwa kama wa wengine? Ubunge wamewanyima, wengine familia.nzima hadi wakwe wanagombea ubunge, kuna mama badala ya kutulia nyumbani ale pensheni yeye anaziba riziki za watu kwa kutaka ubunge, leo asimame aseme, mlitaka aseme nini? Mama kaonyesha mazito aliyonayo moyoni
Kwakweli familia ya mama imeonewa sana
 
Haya ndio matatizo ya hii mitandao vitoto vidogo navyo vina access ya Internet,

Watu wazima hata hatujapata tabu kumuelewa Mama Maria.

She is such a very humble person na sio mwanasiasa kama alivyokuwa mumewe ambaye ni baba wa Taifa.

Lugha za mtiririko wa kisiasa Hana mama yetu , tunampenda na tunashukuru kwa support yake.
Kasema alilazimishwa huelewi nini hapo au unajifanya hamnazo.
 
Ni wazi sasa kila mtu kakichoka hiki chama. Ile tabia ya ccm kutumia watu maarufu na wenye maadili kufunika maovu yao kwenye mikutano leo imejikuta kuwa kama Mbuni kujificha kwenye mchanga ambapo kichwa huzamishwa chini na mkia juu ya ardhi.

Baada ya kumkokota Mke wa marehem Hayati Baba wa Taifa Mwl Nyerere leo kwenye mikutano ya CCM huko butyama.

Bibi Kizee huyu amekata kata kuunga mkono utawala ambao pengine haridhishwi nao. Sina shaka kuwa walimlazimisha aje kusifia ujenzi wa Flyover SGR na Stiglers. Huku Bibi huyo akijua mambo muhimu ya kitaifa yaliachwa nyuma kama kutekwa watu kiholela, kuuawa, kuteswa, kupotea, kubambikia makesi watu wasio na makosa, kufunga
,View attachment 1559382 kunyima watu ajira , kukwamisha miradi ya maendeleo kwenye majimbo ya wapinzani n.k.

Mama huyu ametamka hadharani mchana kweupe( broad daylight) kuwa kalazimishwa aje kuongea na yeye hataki.
Mbona hajaongea hayo mnayowaaminisha watu kwamba kasema....
Mueshimuni mama jamani...
 
Back
Top Bottom