mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Juzi hapa wamejaribu kuomba angalau wapewe ubunge pale Butiama kamati imewakata!
Mama anajua maendeleo ya vitu yaliyopo kule Chato kwa Mheshimiwa na kulinganisha na yale ya pale kwao Butiama kwa Muasisi wa Taifa hili. Pengine litazinduliwa eneo jipya la hifadhi ili wale tausi wapate kuwekwa kama kivutio kipya cha utalii kule Butiama mfano wa Burigi."Mimi kwa bahati nzuri pamoja na Wanamara wenzangu sisi ni kundi lile tulilokuja tuongeze idadi ya watu, vichwa viongozeke kwahiyo sikuja kuzungumza chochote wao walinilazimisha kwamba nizungumze nikasema sina lakuzungumza"- Mama Maria Nyerere
Baada ya ujumbe huu mgumu unaonyesha namna watu wanavyolazimishwa kufanya wasichopenda kufanya, naamini viongozi wamekereka kwa sababu polepole katamka maneno haya:
Mama tunajua una majukumu mengi, endapo ukijisikia kuondoka ondoka upo huru Mwenyekiti amekupa baraka zote.
Huyu mama nadhani ni mara ya kwanza anasimamishwa Kwenye jukwaa la kampeni. Tusiwafanyie hivi watu Hawa waliotumika kwa heshima, waacheni wabaki na heshima yao.
Mwanamke anaitwa joyce....Threads zisizo na ushahidi kama hizi ni za kufuta tu,Joyce joyce ni mkuda sana.
Sawa..... Lkn si ameshaongeza idadi km mlivotaka ww kinachokuuma nini sasa.....Mbona makongoro kawachana sana chadema. Au amjamsikia? Na mama akasema yeye ana mengi makongoro amemaliza kila kitu. CHADEMA acheni kumchanganisha mama wa watu na serikali. Pambaneni na hali zenu maana mna hali mbaya sana. Sema yule makongoro itakua anatumia kijiti.
kama hiviAmesema amekuja kuongeza vichwa, maaanake kumbe wanaccm wanalazimishwa kwenda kuongeza vichwa.
kawachoka kumtumia huku watoto ,wajukuu wake wakiishia kuwa walevi kwa sababu ya stress za kutengwa na serikali ya ccm
Midume inayotumia id za kike ni mingi sana humu.Mwanamke anaitwa joyce....
Joyce joyce hilo ni ndume....
Hii ina uhusiano gani na mada?! ArrrghUpinzani ulishakufa tangu 2015 kama CCM haiku shindwa 2015 itachukua miaka mingi ya wapinzani kuungana kuiangusha CCM.hakuna chama kimojakimoja cha siasa kitaweza kuiangusha CCM.
kinachoniuma ni CHADEMA kukosa mbunge hata mmoja bungeni awamu hii .. Sijui wabunge wa CCM watamzomea nani. Inauma sana.Sawa..... Lkn si ameshaongeza idadi km mlivotaka ww kinachokuuma nini sasa.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah jananiiih JF idumu milele lol.Mama wa watu atakuwa ameambiwa kuwa Kigogo 2014 anamfumua vibaya Mama Samia huko Twitter ivyo akaona asiongee maneno mengi asije kuharibu [emoji23][emoji23][emoji23]
Ccm ni chama cha kishetani.... Hakuna mtz atakipigia kura safari hiii....kinachoniuma ni CHADEMA kukosa mbunge hata mmoja bungeni awamu hii .. Sijui wabunge wa CCM watamzomea nani. Inauma sana.
Yaaan huwa naumia mnooh, kweli watoto wa baba wa taifa wanakuwa hoe hae, huku wengine wakila cake za nchi. [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]CCM pumzi hamna... Huko Musoma leo ,maBus ya Zakaria, malori kibao kuanzia saa 10 za alfajir yalikua nakazi ya kusomba watu kuja kuongeza idadi na vichwa kama alivosema mama Maria.
Kwa ufupi..Mama maria hajapendezwa kuona Mwinyi na watoto wake wakiendelea kula bata... Alafu yeye na wanawe wakiendelea kusomeshwa namba.
Kama kuna familia ilotakiwa kutizamwa kwa jicho kubwa ni ya Familia ya Nyerere.
Utu uzima DawaView attachment 1559508
"Mimi kwa bahati nzuri pamoja na Wanamara wenzangu sisi ni kundi lile tulilokuja tuongeze idadi ya watu, vichwa viongozeke kwahiyo sikuja kuzungumza chochote wao walinilazimisha kwamba nizungumze nikasema sina lakuzungumza"- Mama Maria Nyerere
Baada ya ujumbe huu mgumu unaonyesha namna watu wanavyolazimishwa kufanya wasichopenda kufanya, naamini viongozi wamekereka kwa sababu polepole katamka maneno haya:
Mama tunajua una majukumu mengi, endapo ukijisikia kuondoka ondoka upo huru Mwenyekiti amekupa baraka zote.
Huyu mama nadhani ni mara ya kwanza anasimamishwa Kwenye jukwaa la kampeni. Tusiwafanyie hivi watu Hawa waliotumika kwa heshima, waacheni wabaki na heshima yao.
View attachment 1559499View attachment 1559500View attachment 1559501View attachment 1559502