Uchaguzi 2020 Mama Maria Nyerere: Nimelazimishwa kuja kuongea, niliwaambia nimekuja kuongeza wingi wa watu, Mkutano wa CCM Musoma

Daah..wacha wasombwe na malori.
Waje kuongeza idadi ya watu.
Lakini Oktoba 28 piga chini wote.
 
Muwaache hawa wazee wapumzike. Kuna haja gani ya kuwalazimishe waongee
 
😂😂😂😂😂 mifisiemu wazee wa kusomba watu Kwa malori imeaibika
 
Kasema alilazimishwa huelewi nini hapo au unajifanya hamnazo.
Haipo katika maana hiyo mnayotaka ionekane kuwa ipo.

Ingekuwa kampeni za Chadema hapo angekuwa kweli kalazimishwa.

Nashangazwa sana namna msivyoelewa kauli za watu wazima kama hao mara nyingi zinakuwa namna ile.

Itakuwa huko kwenu hamna watu wazima ndio maana mnapata tabu kuwaelewa.

Mwacheni Bibi yetu msimuingize kwenye Mambo yenu.
 
Na huu #UPOTOSHAJI WENU NDIO UNASABABISHA MPUUZWE CHAGGA DEVELOPMENT MANIFESTO
Naona imekuuma sana mama Maria kuwapa makavu laivu imebidi kwahasira uitukane chadema [emoji1787][emoji1787][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
 
Naona imekuuma sana mama Maria kuwapa makavu laivu imebidi kwahasira uitukane chadema [emoji1787][emoji1787][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
Tafuta clip youtube sikiliza sio kusapoti tuu na inawezakuwa hujasikiliza... Muheshimuni mama jamani
 
"Karibu mkoa wa Mara"
 
Mueleze alichomaanisha mama.
 
Kwahiyo nikweli mlikuwa mnamlazimisha aongee?
 
Kwahiyo chadema ndio tuliokuwa tunamlazimisha huyo bibi aongee kwenyehuo mkutano wenu?
 
Yaaan huwa naumia mnooh, kweli watoto wa baba wa taifa wanakuwa hoe hae, huku wengine wakila cake za nchi. [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
ungekua unawajua vizuri usinge waita hoe hae kwa taarifa yako sio wenzio wale. Na kama serikali ingekua haiwatendei vema makongoro nyerere asingeongea maneno yale leo pale musoma. Mnapumulia mashine mmekosa kabisa point.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…