Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Ingia Google andika Kigogo 2014 itakuletea options then ingia tu. Huitaji kuwa na account ya twitter ili ku access! Utaona nondo za huyu mwamba!!Kigogo anasemaje huko twitter, wengine hatujui jinsi ya kutumia huo mtandao
View attachment 1559508
"Mimi kwa bahati nzuri pamoja na Wanamara wenzangu sisi ni kundi lile tulilokuja tuongeze idadi ya watu, vichwa viongozeke kwahiyo sikuja kuzungumza chochote wao walinilazimisha kwamba nizungumze nikasema sina lakuzungumza"- Mama Maria Nyerere
Baada ya ujumbe huu mgumu unaonyesha namna watu wanavyolazimishwa kufanya wasichopenda kufanya, naamini viongozi wamekereka kwa sababu polepole katamka maneno haya:
Mama tunajua una majukumu mengi, endapo ukijisikia kuondoka ondoka upo huru Mwenyekiti amekupa baraka zote.
Huyu mama nadhani ni mara ya kwanza anasimamishwa Kwenye jukwaa la kampeni. Tusiwafanyie hivi watu Hawa waliotumika kwa heshima, waacheni wabaki na heshima yao.
View attachment 1559499View attachment 1559500View attachment 1559501View attachment 1559502
Wasanii hawakosi na watu vile vile wamesombwa kama kawaida utadhani wakimbizi wa Burundi.Wasanii hakuna
Samia kafanyake mkuu ?Wamepoteana, kule Samia kavuruga huku Mama nyerere kawazingua hawana hamu. Leo watalala na viatu.
Naona leo jiwe itabidi ajitafakali kweli kweli na kama ana mshauri basi inabidi wote wajiulize mwisho wao utakuwaje.AIBU KUBWA SANA!
Kwa hiyo tufanyeje sasa? Mbona kama mnakosaga la maana kusema.!!View attachment 1559508
"Mimi kwa bahati nzuri pamoja na Wanamara wenzangu sisi ni kundi lile tulilokuja tuongeze idadi ya watu, vichwa viongozeke kwahiyo sikuja kuzungumza chochote wao walinilazimisha kwamba nizungumze nikasema sina lakuzungumza"- Mama Maria Nyerere
Baada ya ujumbe huu mgumu unaonyesha namna watu wanavyolazimishwa kufanya wasichopenda kufanya, naamini viongozi wamekereka kwa sababu polepole katamka maneno haya:
Mama tunajua una majukumu mengi, endapo ukijisikia kuondoka ondoka upo huru Mwenyekiti amekupa baraka zote.
Huyu mama nadhani ni mara ya kwanza anasimamishwa Kwenye jukwaa la kampeni. Tusiwafanyie hivi watu Hawa waliotumika kwa heshima, waacheni wabaki na heshima yao.
View attachment 1559499View attachment 1559500View attachment 1559501View attachment 1559502
hembu ndo nin? Ata kuandika ujui.Hembu mquote vizuri tuone
Bora hata mzee wa msoga aliwafanyia fair.CCM pumzi hamna... Huko Musoma leo ,maBus ya Zakaria, malori kibao kuanzia saa 10 za alfajir yalikua nakazi ya kusomba watu kuja kuongeza idadi na vichwa kama alivosema mama Maria.
Kwa ufupi..Mama maria hajapendezwa kuona Mwinyi na watoto wake wakiendelea kula bata... Alafu yeye na wanawe wakiendelea kusomeshwa namba.
Kama kuna familia ilotakiwa kutizamwa kwa jicho kubwa ni ya Familia ya Nyerere.
CCM pumzi hamna... Huko Musoma leo ,maBus ya Zakaria, malori kibao kuanzia saa 10 za alfajir yalikua nakazi ya kusomba watu kuja kuongeza idadi na vichwa kama alivosema mama Maria.
Kwa ufupi..Mama maria hajapendezwa kuona Mwinyi na watoto wake wakiendelea kula bata... Alafu yeye na wanawe wakiendelea kusomeshwa namba.
Kama kuna familia ilotakiwa kutizamwa kwa jicho kubwa ni ya Familia ya Nyerere.
weka ukweli. mods sio wajinga waache uziNa huu #UPOTOSHAJI WENU NDIO UNASABABISHA MPUUZWE CHAGGA DEVELOPMENT MANIFESTO
Waitara ni mkurya wa DarUzuri wa musoma hawanaga shobo hawajui kujikomba ni mpuuz mmoja tu mlevi waitara ndo anajivunjia heshima