Uchaguzi 2020 Mama Maria Nyerere: Nimelazimishwa kuja kuongea, niliwaambia nimekuja kuongeza wingi wa watu, Mkutano wa CCM Musoma

Kigogo anasemaje huko twitter, wengine hatujui jinsi ya kutumia huo mtandao
Ingia Google andika Kigogo 2014 itakuletea options then ingia tu. Huitaji kuwa na account ya twitter ili ku access! Utaona nondo za huyu mwamba!!
 
View attachment 1559508

"Mimi kwa bahati nzuri pamoja na Wanamara wenzangu sisi ni kundi lile tulilokuja tuongeze idadi ya watu, vichwa viongozeke kwahiyo sikuja kuzungumza chochote wao walinilazimisha kwamba nizungumze nikasema sina lakuzungumza"- Mama Maria Nyerere

Baada ya ujumbe huu mgumu unaonyesha namna watu wanavyolazimishwa kufanya wasichopenda kufanya, naamini viongozi wamekereka kwa sababu polepole katamka maneno haya:

Mama tunajua una majukumu mengi, endapo ukijisikia kuondoka ondoka upo huru Mwenyekiti amekupa baraka zote.

Huyu mama nadhani ni mara ya kwanza anasimamishwa Kwenye jukwaa la kampeni. Tusiwafanyie hivi watu Hawa waliotumika kwa heshima, waacheni wabaki na heshima yao.
View attachment 1559499View attachment 1559500View attachment 1559501View attachment 1559502

ACHA UCHIZI WEWE KUANDIKA MANENO KIVINGINE NA SUSABABISHA CHUKI KWA WATU UMEANDIKA TOFAUTI NA ALIVYOONGEA YEYE WEWE NI CHIZI NA NI MPUUZI WA VIWANGO
 
View attachment 1559508

"Mimi kwa bahati nzuri pamoja na Wanamara wenzangu sisi ni kundi lile tulilokuja tuongeze idadi ya watu, vichwa viongozeke kwahiyo sikuja kuzungumza chochote wao walinilazimisha kwamba nizungumze nikasema sina lakuzungumza"- Mama Maria Nyerere

Baada ya ujumbe huu mgumu unaonyesha namna watu wanavyolazimishwa kufanya wasichopenda kufanya, naamini viongozi wamekereka kwa sababu polepole katamka maneno haya:

Mama tunajua una majukumu mengi, endapo ukijisikia kuondoka ondoka upo huru Mwenyekiti amekupa baraka zote.

Huyu mama nadhani ni mara ya kwanza anasimamishwa Kwenye jukwaa la kampeni. Tusiwafanyie hivi watu Hawa waliotumika kwa heshima, waacheni wabaki na heshima yao.
View attachment 1559499View attachment 1559500View attachment 1559501View attachment 1559502
Kwa hiyo tufanyeje sasa? Mbona kama mnakosaga la maana kusema.!!
 
1599319631392.png
 
CCM pumzi hamna... Huko Musoma leo ,maBus ya Zakaria, malori kibao kuanzia saa 10 za alfajir yalikua nakazi ya kusomba watu kuja kuongeza idadi na vichwa kama alivosema mama Maria.

Kwa ufupi..Mama maria hajapendezwa kuona Mwinyi na watoto wake wakiendelea kula bata... Alafu yeye na wanawe wakiendelea kusomeshwa namba.

Kama kuna familia ilotakiwa kutizamwa kwa jicho kubwa ni ya Familia ya Nyerere.
Bora hata mzee wa msoga aliwafanyia fair.
 
Ila watu wa Musoma kavu sana! Yaani hawakua serious kabisa na mkutano! Dizain kama walikua wanasanifu hivi ila waliku na majibu yao vichwani🤔
 
unabeza mabasi kubeba watu hivi unajua mijini kampeni zinapopita kuna less than 30% ya watz....

unajua kama maeneo mengi ni ngumu kufika mikutanoni kwa shida ya usafiri na umbali toka mijini kwenye kampeni?

Malori na mabasi yanafanya 70% ya watz kufika kuona kampeni za CCM wakati msiotumia mabasi mnawafikia less than 30% ya watz (walioko mijini tu)...

Sintashangaa mkijalia tumeibiwa kura[emoji3][emoji3]

Back
Top Bottom