Mama mchungaji Qute Mena anena kuhusu kutofautiana na baba mchungaji

Kwa wasiomfahamu huyu ndiye mama mchungaji mke wa mchungaji Mc pilipili. Mtumishi amefunguka na kusema jambo kuhusu bifu lake na baba mchungaji.

Amesema......

"Kupishana katika ndoa ni kitu cha kawaida sana, sema kuna wale ma stars wakipishana kila mtu atajua lakini kwetu watu wa rohoni huwa tunayamaliza kimya.... kimya hata mshenga hahusishwi".

Bifu lao wameshalimaliza na maisha yanasonga.

Kuhusu kanisa kumshinda baba mchungaji, mama amekazia....

"Kile alichosema baba mchungaji ndicho hicho hicho nasema na mie kwamba hatukutaniki tena kila jumapili bali huduma yetu kwa sasa ni kuhudumia watu wa mtandaoni pekee.

Mama mchungaji katika ubora wake.

View attachment 2883277View attachment 2883279View attachment 2883282
Aseee
 
Vijana ni vile mnapenda usenge... Lakini kiuhalisia huyo mwanamke hata kabla ya ndoa hakuwahi kumpenda mc piliili... Mwanamke alitaka umaarufu apate jina aonwe na wanaume matajiri atengeneze pesa... Mc piliili saahizi analia kama senge badala ya kutafuta mwanamke mwingine aingize ndani
 
Hizo lips zikitua juu ya kichwa cha chini ni hatari
Haya bebe wako, mwenye big and smooth lips ana kuita 😆😆
FB_IMG_16854885764003555 (2).jpg
 
Huyu demu linaonekana lina mautamu ya kutosha
 
Kwa wasiomfahamu huyu ndiye mama mchungaji mke wa mchungaji Mc pilipili. Mtumishi amefunguka na kusema jambo kuhusu bifu lake na baba mchungaji.

Amesema......

"Kupishana katika ndoa ni kitu cha kawaida sana, sema kuna wale ma stars wakipishana kila mtu atajua lakini kwetu watu wa rohoni huwa tunayamaliza kimya.... kimya hata mshenga hahusishwi".

Bifu lao wameshalimaliza na maisha yanasonga.

Kuhusu kanisa kumshinda baba mchungaji, mama amekazia....

"Kile alichosema baba mchungaji ndicho hicho hicho nasema na mie kwamba hatukutaniki tena kila jumapili bali huduma yetu kwa sasa ni kuhudumia watu wa mtandaoni pekee.

Mama mchungaji katika ubora wake.

View attachment 2883277View attachment 2883279View attachment 2883282
Siku hiz kuwa, mchungaji, ni sawa na kuwa, konda wa daladala, unaamua tu, sasa huyu si shankupe, danga tu, hakuna wife material hapa,
 
Back
Top Bottom