Mama mchungaji Qute Mena anena kuhusu kutofautiana na baba mchungaji

Mama mchungaji Qute Mena anena kuhusu kutofautiana na baba mchungaji

Hiyo avatar hiyo hiyo umenikumbusha wizzy alivyokuwaga anakunyanyasa🤣🤣🤣
Acha tu ilikuwa ni kitimtim, kila uzi atakaochangia cute ni “kiunganish” cha comment yake 😂😂😂
Unachukiwa bila sababu mpk unajishangaa..!!
Nilitaka kurudisha mpk jina langu, sema kuna mtu kalichukua sijui baradhuli gani huyo 😏
 
Hee,ndio huyo atakuwa aliyezua balaa kipindi kileee... anyway sio mbaya tutaback na lamomy wetu...ila shoo ulikomeshwa🤣
 
Kwa wasiomfahamu huyu ndiye mama mchungaji mke wa mchungaji Mc pilipili. Mtumishi amefunguka na kusema jambo kuhusu bifu lake na baba mchungaji.

Amesema......

"Kupishana katika ndoa ni kitu cha kawaida sana, sema kuna wale ma stars wakipishana kila mtu atajua lakini kwetu watu wa rohoni huwa tunayamaliza kimya.... kimya hata mshenga hahusishwi".

Bifu lao wameshalimaliza na maisha yanasonga.

Kuhusu kanisa kumshinda baba mchungaji, mama amekazia....

"Kile alichosema baba mchungaji ndicho hicho hicho nasema na mie kwamba hatukutaniki tena kila jumapili bali huduma yetu kwa sasa ni kuhudumia watu wa mtandaoni pekee.

Mama mchungaji katika ubora wake.

View attachment 2883277View attachment 2883279View attachment 2883282
Katika kila mwanaume aliyefilisika nyuma yake kuna mwanamke cheupe
 
Back
Top Bottom