Mama mchungaji Qute Mena anena kuhusu kutofautiana na baba mchungaji

Mama mchungaji Qute Mena anena kuhusu kutofautiana na baba mchungaji

Kwa wasiomfahamu huyu ndiye mama mchungaji mke wa mchungaji Mc pilipili. Mtumishi amefunguka na kusema jambo kuhusu bifu lake na baba mchungaji.

Amesema......

"Kupishana katika ndoa ni kitu cha kawaida sana, sema kuna wale ma stars wakipishana kila mtu atajua lakini kwetu watu wa rohoni huwa tunayamaliza kimya.... kimya hata mshenga hahusishwi".

Bifu lao wameshalimaliza na maisha yanasonga.

Kuhusu kanisa kumshinda baba mchungaji, mama amekazia....

"Kile alichosema baba mchungaji ndicho hicho hicho nasema na mie kwamba hatukutaniki tena kila jumapili bali huduma yetu kwa sasa ni kuhudumia watu wa mtandaoni pekee.

Mama mchungaji katika ubora wake.

View attachment 2883277View attachment 2883279View attachment 2883282
Shetani ananguvu sana lakini wanadamu hawalijui hili
 
Swala la mgogo mc pilipili na ben paulo lilikuwa la muda tu

Ben POA kabadili dini Kisha kawa muislamu ila majuz jmaa amekwenda kuekeze kweny ufugaji was nguruwe na mke wa proof j
Ila sijui wagogo wanashida gani kwenye mahusiano wengi wao wanapigwa na vitu vizito utosini.

Sijui ni ushamba?

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Huyo toka mwanzo tu alionekana bado anahitaji mambo ya kidunia, hayupo matured. Na kale kajamaa kalijimwaga moyo mno, kalionekana kanampenda sana kuliko kupendwa. Sasa kiko wapi?🤣
 
Dar Es Salaam na watu wake. Wanashindana tu kutupa matukio kila siku. Ila sio mbaya, na huu mgao na hii bei ya sukari bora hata tujipoze kwa habari na mtukio
 
Back
Top Bottom