BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Unafikiri kila mtu ana ufahamu na utashi wa kusoma mazingira?
a.rahabu Kuanzia huyo mwanaume na mama yake wamekosa huo utashi. Mwanaume ndio alipaswa kuliona hilo mapema hata kabla hajaja na awe amepanga ramani nzima.
We unafikiri na huyo Mume huko aliko hawajamchoka? Ukweli nae wamemchoka. Mume anapaswa atumie hekima kidogo tu. Aende akanunue vizawadi vya pasaka haswa vyakula (Mafuta, mchele etc) na hela kidogo ampelekee mama yake amwambie akale na familia kusheherekea pasaka nyumbani. mchezo umeisha. Ila kwa wabongo tulivyowanafiki, mdada akijidai kwenda kumwambia Mumewe ajue imekula kwake maana inaonekana na mumewe hajitambui vizuri kupembua mchele na mpunga.
Kwa tamaduni za kikwetu nyumbani Mkwe au hata mama ajue una kachumba kamoja, Hata Umhonge na hela Juu hatakaa afikie kwako kamwe.
umenena mkuu
tatizo ni hawa kina mama wa kidigitali hawawazi mbali
Karibu Chem.
Unadhani kama mama amekuwa wa kidigitali... huyo mume ndo tusemeje sasa? he is really something dude!!!
Hahahaaa!! Si muda mrefu tutaona post hapa waliomuhifadhi huyo mume wakilalamika. heading huenda ikawa
''Wana MMU, Hivi mtu akiomba usingizi kwa siku tatu akakaa zaidi ya mwezi na hana dalili za kuondoka unafanyaje? Naomba mawazo wadau''
hahahahaha umeona eeeeh sana atawakaribishia michepuko na hali ya hewa hii mmhhhh
Dah munkari ukisikia mtumwa ktk nchi yako ndo ivi.Asa watapeleka mechi ugenini adi lini kwa vile tumeshavaa Uafrika inamlazimu jamaa atafute tunyumba twenye angalau tuvyumba tuwili.Ila jamani inaumaje unanyang`anywa uhuru bila chuki.akh karibu nisaau Munkari vp kwako ipo chansi waje wapige cha voda fasta?Duh hizo ndo changamoto za ndoa..avumilie tu kaja kwa mwanae kula bata loh si mnajua wamama wakwe wengine?! ! Lakinii......inamana huyo mdogo wako na mumewe hawawezi kutoka hata siku moja kwenda mahali pa faragha wakamalize shida zao huko then wakarudi maisha yakaendelea?? Aaah jamani mbona simple hivyo embu mwambie afanye hivyo kwanza ....
Yaani mama analala kwenye kitanda chá mtoto wake wa kiume na mkamwana wake?
Hii kali Aisee
Hujui kuwa mjini kila mtu baby.duh mama kauzu amepapenda mjini
Yaani mama analala kwenye kitanda chá mtoto wake wa kiume na mkamwana wake?
Hii kali Aisee