Mama mkwe ana mwezi hana dalili ya kuondoka, chumba kimoja, nimemmisi mume wangu

nakuuliza ww a.rahabu, walimkaribisha wao au?,je, mama yupo hapo kimatibabu au? kama jibu hapana, basi mke anaweza kukaa na mme faragha kwa hekima,na unynykvu na mme ndo amweleze mama
 

Samahani kama itawakera,wazazi kabila la wagogo wanatabia hii sana.
 
Fungeni safari ya kwenda kusalimia huko kwao Dodoma mbebe na mapochopocho halafu muende naye mumuache huko.
 
Pole sana
 
Mi ningemuaga mume kuwa naenda nyumbani,basi!

Hata huyo mama Hana akili huwezi kwenda Kwa mwanao eti kusakimia na ana chumba kimoja
 
Aisee pole kwa mdogoo wako,ni pagumu sana hapo lakini hao wawili, yani mke na mume ni swala ambalo lipo ndani ya uwezo wao so inabidi wajadili in a positive way naamini watafkia mahali pazuri tuu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Mchana wa ibada waende wote church then wapate dharura mama akirudi jogoo lishawika dodoma.Afternoon ya ibada
 
Faragha hata guest house wanapata kama ni Kazi jifanye unaenda kutibiwa mwite wife mle mapema kabla ya chakula cha jioni
 
Kama unaoa na huna uwezo wa kupokea wageni ni heri usioe.
Kuingia kwenye ndoa ni ukubwa huwezi kuendelea kuishi kama bachelor.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…