Mama mkwe ana mwezi hana dalili ya kuondoka, chumba kimoja, nimemmisi mume wangu

Mama mkwe ana mwezi hana dalili ya kuondoka, chumba kimoja, nimemmisi mume wangu

Wana sisi wazima huku najua hakuna fujo sana.

Na kuna watu makini wa kunisaidia.

Wapenzi nnamdogo angu ana kama 26 kaolewa na mtu wa Dodoma. Naishi nae karibu kama nyumba 5 kutoka kwangu amepanga chumba1 self containal.

Sasa kama mwezi mkwewe alikuja kumsalimu.

Na alsema anakaa siku3 jamani had leo mumewake analala kwa marafiki zake juzi nasikia anaongea na ndugu zake kuwa atarudi hadi pasaka iishe jamani mwezi na siku kadhaa na analala kitandani bila aibu.

Anaogopa kumwambia mumewe atahisi anamchukia mama yake na hivyo anataka jumamosi kuondoka kwenda kwao morogoro ila mkwe haoneshi hata. Kuondoka kasema kama haukaisana utanikuta.
Hebu mshaurin mdogo angu jamani.
namshauri huyo mume asimwambie chochote mama mkwe wake, ila wakati wa kwenda kuoga avue nguo zote na apite mbele yake akiwa kama amezaliwa, afanye hivyo kila siku bila kuongea chochote wala kumkasirikia mtu then atapata matokeo mazuri tu

awaambiye wampigie cmu aondoke ahalfu huyo mama mkwe akikosa msosi ataanza faster!!
 
Kwa kabila hilo kawaida hayo kutokea...hawaoni aibu.....
 
jamani wenye familia 2jitahid kupanga vyumba v2 hata kama vya hali ya chini. haya sas aibu hiyo mamamkwe anazijua aina zote za boxer za mkwewe
 
Naomba nishauri japo hata sijasoma wengine wamesemaje...Kosa ni lao wanandoa. Unawezaje kumpisha mama mkwe/mama mzazi alale mahali mnapotafutia watoto...!? Aibu iwe juu yenu.. kweli kabisa. Kumbe angekuja baba wa binti naye mngempisha.. ondoeni aibu hapa
Haya mambo hayasemeki.
Mlitakiwa mfanye muwezalo kumasetiri japo kwa siku 2 na si vinginevyo. Kwanza hapaswi hata kuona mnapolala. Hivi nyie kabila gani kwanza....!?
 
Mkiniambia nyie kabila gani nitawashauri. Maana yako makabila hayana staha.
Hivi mtu unahama nyumbani kwako kumpisha mtu ambaye ana home kwake na kapakimbia? Msijifanye wenye huruma... huo ni ujinga na kujinajisi.. ona sasa mnavyohangaika.
Kama ndo mara yake ya kwanza kulalia godoro huyo mnaye.
 
Mmmh shughuli!sijui huyo mama ni kabila gani lakini kwa mtu mstaarabu na anaejielewa huwezi lala kwenye kitanda cha mwanao na mkewe!
kama mama haonyeshi dalili za kuondoka itabidi wawe wanaenda hata hotel kumaliza haja zao kwasababu hamna jinsi ya kumwambia mama aondoke
 
Kwanini mlifikia hatua hiyo na hali njia rahic ilikuwa nikununua gogoro mother akawa analala sebuleni ? Shida iko wapi! Maana hatolalamika wakati hiyo ndo hali ye mwanae.
 
Wana sisi wazima huku najua hakuna fujo sana.

Na kuna watu makini wa kunisaidia.

Wapenzi nnamdogo angu ana kama 26 kaolewa na mtu wa Dodoma. Naishi nae karibu kama nyumba 5 kutoka kwangu amepanga chumba1 self containal.

Sasa kama mwezi mkwewe alikuja kumsalimu.

Na alsema anakaa siku3 jamani had leo mumewake analala kwa marafiki zake juzi nasikia anaongea na ndugu zake kuwa atarudi hadi pasaka iishe jamani mwezi na siku kadhaa na analala kitandani bila aibu.

Anaogopa kumwambia mumewe atahisi anamchukia mama yake na hivyo anataka jumamosi kuondoka kwenda kwao morogoro ila mkwe haoneshi hata. Kuondoka kasema kama haukaisana utanikuta.
Hebu mshaurin mdogo angu jamani.

Maza kanogewa ashazoea kula MAGIMBI asubuhi sasa hapo usikute mkate BlueBand Maziwa na Mayai kidogo afu usiku wali Samaki,,,,mjini pa zuri jamani. Kama mie atalala Sebuleni tu.
 
Wana sisi wazima huku najua hakuna fujo sana.

Na kuna watu makini wa kunisaidia.

Wapenzi nnamdogo angu ana kama 26 kaolewa na mtu wa Dodoma. Naishi nae karibu kama nyumba 5 kutoka kwangu amepanga chumba1 self containal.

Sasa kama mwezi mkwewe alikuja kumsalimu.

Na alsema anakaa siku3 jamani had leo mumewake analala kwa marafiki zake juzi nasikia anaongea na ndugu zake kuwa atarudi hadi pasaka iishe jamani mwezi na siku kadhaa na analala kitandani bila aibu.

Anaogopa kumwambia mumewe atahisi anamchukia mama yake na hivyo anataka jumamosi kuondoka kwenda kwao morogoro ila mkwe haoneshi hata. Kuondoka kasema kama haukaisana utanikuta.
Hebu mshaurin mdogo angu jamani.
Dzain maza kauzu sana il a kwa mbali yaonekana maza anataka kuivunja hyo ndoa aseeeee
 
Mwanaume uwezo wake chumba Kimoja .Kuna WANAWAKE bado wanaolewa na wanaume wenye chumba kimoja.

Subiria wenye ghorofa basi, nyie ndio mnaopelekea baadae wazaz wenu watoto ambao hawana baba after kuchagua sana mwisho wa siku 35yrs uko kwenu na mwanao mnagombea maandazi wote na kwenda Chooni.
 
Kama ni mgogo sishangai mi niliachana na wife hivi hivi, nilikuwa naishi chumba na sebure wakafunga safari mama na baba mkwe, mdogo na kaka mtu nilichoka wakaja na jirani yao wa kiume alinipigia simu nikampokee Ubungo kufika pale nilichoka kuona msururu huo nikahama nyumbani chumbani wakawa wanalala wanawake sebureni wanaume walikaa miezi 4.
 
Back
Top Bottom