Mama Mkwe anataka majina yangu matatu

Labda Anataka akufuatilie kwenye database ya taifa mkuu usiwe na wasi wasi we toa majina hayo 😅😅😅.

Ila nijuavyo lakini mshirikina akipata vitu hivi basi atakayekuokoa ni Muumba pekee

1.jina la mama yako
2.tarehe yako ya kuzaliwa
3.na chochote ulichotumia/ unachotumia au ulichomiliki/unachomiliki
 
Mtumishi kuna vitu waafrika huwa tunajitoa ufahamu wakati mwingine ila wazungu Wana kitu inaitwa incenstor DNA ni muhimu Sana na hata hivyo ktk hupnmchakato wako wanndoa majina utaandika mwenyewe bila hata kuulizwa,as long umemwelewe manzinhebunamua moja ukubali yaishe
 
Mimi siogopi maana namtumainia Mungu. Mwanzo nilikua na plan za kumtumia mama mkwe nauli binti yake atakapokaribia kujifungua aje . Kwa hili la leo mmh nimegairi mtoto wangu si atakua anaoga madawa tu.
"Mimi siogopi maana namtumainia Mungu. "

Sasa mbona unaghairi asije?😅
 
Mama mkwe ni afisa uhamiaji kwani?
 
Wandendeule itakuwa Wilaya ya Tunduru hiyo asili yao bila shaka!
 
Ni waswahili fulani hivi wanafanana na watu wa mikoa ya kusini !
 
Wanataka kukupigia ramli
 
Uchawi au utabiri unatumika sana mikoa ya pwani kujua utaleta umaskini,utajiri au nyota zenu na ukoo wake unaendana.
ila asilimia kubwa wanatumia kukupiga lock konki.

watu wengi mkiona mtu anakuuliza jina la mama yako muogope sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…