kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Hata mimi nimehisi hivo, maana hata yeye ni singo mama.
Umeisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi nimehisi hivo, maana hata yeye ni singo mama.
Hahahahah mwambao wa ziwa Nyasa wote wanga tu.kwa wandendeule kamchukue mkeo fasta kabla hajaanza kuoga dawa za msumbiji
Mhhh!! Ngumu kumeza hii anataka majina mpaka ya mama yako? Haijakaa sawa seriousHabari ya weekend JF.
Mpenzi wangu nimempa ujauzito.
Nipo mbioni kupeleka posa kwao ili nifunge nae ndoa Takatifu.
Wazazi wake bado sijakutana nao, binti yao ameshampa taarifa mama yake kuhusu hali yake ya ujauzito, mama yake akamuuliza kama kama anatunzwa akajibu ndiyo.
Sasa leo asubuhi mpenzi kanipa taarifa ya kushtua anasema mama yake kampigia simu anataka yeye (binti) amtumie majina yangu matatu, ya baba yangu matatu pia majina na mama yangu matatu.
Mama kijacho wangu kasema hawezi kumtumia kakataa japo hajamtamkia mama yake kua hatomtumia hayo majina.
Wadau huyu mama mkwe wangu mtarajiwa anataka hayo majina ya nini? Humu kuna wajuzi wengi naomba kujua anachotaka.
Namtumbo hiyoMkoa wa Ruvuma. Huyu mama ni Mdendeule
Kwanini mkuu?Kizazi cha kipuuzi sana hiki
Unatiwa hofu tuu angeyataka kwa ubaya angeyapata bila hata nyie wote wawili kujua.. Huyo anatafuta asili isijekuwa nyie ni nduguHabari ya weekend JF.
Mpenzi wangu nimempa ujauzito.
Nipo mbioni kupeleka posa kwao ili nifunge nae ndoa Takatifu.
Wazazi wake bado sijakutana nao, binti yao ameshampa taarifa mama yake kuhusu hali yake ya ujauzito, mama yake akamuuliza kama kama anatunzwa akajibu ndiyo.
Sasa leo asubuhi mpenzi kanipa taarifa ya kushtua anasema mama yake kampigia simu anataka yeye (binti) amtumie majina yangu matatu, ya baba yangu matatu pia majina na mama yangu matatu.
Mama kijacho wangu kasema hawezi kumtumia kakataa japo hajamtamkia mama yake kua hatomtumia hayo majina.
Wadau huyu mama mkwe wangu mtarajiwa anataka hayo majina ya nini? Humu kuna wajuzi wengi naomba kujua anachotaka.
Duuh ndugu? Mimi ni msukuma 100%. Wao ni Wandendeule. Mkuu Mshana bora umekuja.Unatiwa hofu tuu angeyataka kwa ubaya angeyapata bila hata nyie wote wawili kujua.. Huyo anatafuta asili isijekuwa nyie ni ndugu
Sana sana ni mambo ya nyota na ramli na sometimes ni kwa nia njema kabisa.. Atakaye kwa ubaya haji kwa bayana hivyoDuuh ndugu? Mimi ni msukuma 100%. Wao ni Wandendeule. Mkuu Mshana bora umekuja.
Nina maswali Mawili;Habari ya weekend JF.
Mpenzi wangu nimempa ujauzito.
Nipo mbioni kupeleka posa kwao ili nifunge nae ndoa Takatifu.
Wazazi wake bado sijakutana nao, binti yao ameshampa taarifa mama yake kuhusu hali yake ya ujauzito, mama yake akamuuliza kama kama anatunzwa akajibu ndiyo.
Sasa leo asubuhi mpenzi kanipa taarifa ya kushtua anasema mama yake kampigia simu anataka yeye (binti) amtumie majina yangu matatu, ya baba yangu matatu pia majina na mama yangu matatu.
Mama kijacho wangu kasema hawezi kumtumia kakataa japo hajamtamkia mama yake kua hatomtumia hayo majina.
Wadau huyu mama mkwe wangu mtarajiwa anataka hayo majina ya nini? Humu kuna wajuzi wengi naomba kujua anachotaka.
Anatakiwa apeleke majina ya Anna Tibaijuka,au Matrida BurianiMhhh!! Ngumu kumeza hii anataka majina mpaka ya mama yako? Haijakaa sawa serious
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Watu wa pwani ni balaa, kunasiku karani wa sensa alifika nyumbani kwa mama mmoja ambaye mmewe hakuwepo, alipoulizwa majina ya mmewe akajibu anaitwa baba mfaume! Akakumbuka la Juma alilokuwa akimuita miaka kumi iliyopita, lapili na latatu hajui! Huko Zanzibar kila mtu anajulikana kwa majina matatu, na bara wengi hutumia mawili na baadhi ya mikoa matatu. Wakwe wanataka watayarishe majina ya wajukuu na si vinginevyo.Habari ya weekend JF.