Mama Mkwe anataka majina yangu matatu

kwa wandendeule kamchukue mkeo fasta kabla hajaanza kuoga dawa za msumbiji
Hahahahah mwambao wa ziwa Nyasa wote wanga tu.

Wanapenda mambo meusi, japo na Mimi ni WA uko uko.

Kamchukue mwanao fasta washenzi sana hao watu.
 
Mhhh!! Ngumu kumeza hii anataka majina mpaka ya mama yako? Haijakaa sawa serious

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Huyo mwanamke wako ndio anajifanya anakupenda Sana au?Kuna Mambo inabidi kusimama ili kuficha aibu za familia,Kama amekataa katakata kutuma alikuwa na haja gani ya kukuambia wewe?siku za usoni penzi litapokomaa utavyoanza msimanga mama yake Ni shirkina ndio atajua hajui..........Nikirudi kwenye swali hayo majina yanatakiwa kilingeni.
 
Unatiwa hofu tuu angeyataka kwa ubaya angeyapata bila hata nyie wote wawili kujua.. Huyo anatafuta asili isijekuwa nyie ni ndugu
 
Unatiwa hofu tuu angeyataka kwa ubaya angeyapata bila hata nyie wote wawili kujua.. Huyo anatafuta asili isijekuwa nyie ni ndugu
Duuh ndugu? Mimi ni msukuma 100%. Wao ni Wandendeule. Mkuu Mshana bora umekuja.
 
Nina maswali Mawili;
1. Unataka kufunga ndoa au ndoa takatifu? Kama unataka kufunga ndoa takatifu kwa nini usifunge ndoa takatifu kwanza ndipo mpeane mimba mkiwa ndani ya ndoa?
2. Una hakika gani kwamba huyo mchumba wako hajampa mama yake hayo majina na hapa anataka kujua tu reaction yako?
Kila la kheri
 
Watu wa pwani ni balaa, kunasiku karani wa sensa alifika nyumbani kwa mama mmoja ambaye mmewe hakuwepo, alipoulizwa majina ya mmewe akajibu anaitwa baba mfaume! Akakumbuka la Juma alilokuwa akimuita miaka kumi iliyopita, lapili na latatu hajui! Huko Zanzibar kila mtu anajulikana kwa majina matatu, na bara wengi hutumia mawili na baadhi ya mikoa matatu. Wakwe wanataka watayarishe majina ya wajukuu na si vinginevyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…