Zamaulid
Platinum Member
- May 25, 2009
- 20,320
- 16,768
...awe makini kuingia chumbani anaweza kujikuta analiwa hata yeye!Mama mkwe alikuja kama kuwapikia
...awe makini kuingia chumbani anaweza kujikuta analiwa hata yeye!Mama mkwe alikuja kama kuwapikia
Mashemeji na mkwe ndio walikuwa wanaishi kwa jamaa. Nyumba inasoma,jina la jamaaKama jamaa alikuwa anaishi na mke wake ukweni ina maanisha jamaa aliolewa.
Kwa akili ya kawaida mwanaume hauwezi kuishi nyumba moja na mashemeji kwenye nyumba yao