Zamaulid Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 20,320 Reaction score 16,768 Jun 9, 2026 #61 Jaji Mfawidhi said: Mama mkwe alikuja kama kuwapikia Click to expand... ...awe makini kuingia chumbani anaweza kujikuta analiwa hata yeye!
Jaji Mfawidhi said: Mama mkwe alikuja kama kuwapikia Click to expand... ...awe makini kuingia chumbani anaweza kujikuta analiwa hata yeye!
Jaji Mfawidhi JF-Expert Member Joined Feb 20, 2016 Posts 17,434 Reaction score 27,177 Jun 25, 2026 Thread starter #62 Upo sahihi , mwanaume alilewa penzi la marehemu na inaonyesha pia alimuamini sana mama mkwe, pigo ikawa ni kuiiwa kila kitu!
Upo sahihi , mwanaume alilewa penzi la marehemu na inaonyesha pia alimuamini sana mama mkwe, pigo ikawa ni kuiiwa kila kitu!
MAPITO Mwanza JF-Expert Member Joined Aug 21, 2018 Posts 5,995 Reaction score 8,799 Jun 25, 2026 #63 Yaliyojili?
Fursakibao JF-Expert Member Joined Dec 12, 2017 Posts 6,996 Reaction score 11,887 Jun 25, 2026 #64 andjul said: Kama jamaa alikuwa anaishi na mke wake ukweni ina maanisha jamaa aliolewa. Kwa akili ya kawaida mwanaume hauwezi kuishi nyumba moja na mashemeji kwenye nyumba yao Click to expand... Mashemeji na mkwe ndio walikuwa wanaishi kwa jamaa. Nyumba inasoma,jina la jamaa
andjul said: Kama jamaa alikuwa anaishi na mke wake ukweni ina maanisha jamaa aliolewa. Kwa akili ya kawaida mwanaume hauwezi kuishi nyumba moja na mashemeji kwenye nyumba yao Click to expand... Mashemeji na mkwe ndio walikuwa wanaishi kwa jamaa. Nyumba inasoma,jina la jamaa
Monetary doctor JF-Expert Member Joined Oct 20, 2022 Posts 14,350 Reaction score 27,420 Jun 26, 2026 #65 Mama mkwe alitoa wapi mamlaka ya kuingia chumbani na kutoa hati ya nyumba? wanaodai mama mkwe kumrithi mwanaye hiyo nyumba yake au ya nani mpk aanze kudai urithi Kuoa familia zilizokosa ustaarabu jau sana
Mama mkwe alitoa wapi mamlaka ya kuingia chumbani na kutoa hati ya nyumba? wanaodai mama mkwe kumrithi mwanaye hiyo nyumba yake au ya nani mpk aanze kudai urithi Kuoa familia zilizokosa ustaarabu jau sana