Mama mkwe hataki niolewe na mwanaye kisa mimi ni Mchaga

Hii notion bado ipo saana ila wanawake wa kichaga hawako hivyo tena

Nafikiri waliponzwa na wamama wachache wa kichaga waliokuwa na tamaa ya mali.
Wamama wa kichga ni wamama watulivu mno , wana adabu kwa wame zao hata kma hawana kipato , wadada wakichaga hawafai kbsa ukiwalinganisha na mama zao hawafiki ata robo.
 
Pole dear.... Jaribu kumshirikisha mtu wako wa karibu sana.......Muombe Mungu pia anakupitisha kweny jaribu na utalishinda.......huyo mkaka akiongea kitu kwa sasa we kubali kwanza na usionyeshe kumchukia mama ake.....hadi hapo suluhu itakapopatikana
 
Mrejesho upo kweli
 
Yakiwashinda mnatujumlisha koma
 
Ushauri wangu ni hivi olewa kwingine maisha ndio haya mbona wanawake wachuga wanaolewa na wazungu umetoka wapi na vibudu ,?? Wamekomaa kama Nini
 
Wewe achana na hizo jamii za walaji wa panya tafuta makabila ya kaskazini wenzako tamaduni zinamatch
 
Kuwa makini we kuchanganywa kubeba mimba hutaamn unavyokataliwa wewe na mimba watu wengi wanafanya ivi km njia ya kumsaka mwanaume lkn wanaishia kutelekezwa na watoto wao
 
Pole sana kwa changamoto. Na hongera sana kwa kuvumilia kwenye mahusiano kwa muda mrefu na kukubali kutoka chini na mtu unayempenda.

Ushauri wangu fanyeni kile ambacho moyo wenu unapenda. Laiti mama angeweka kikwazo toka mwanzo isingekuwa na shida lkn swali kwa nini aweke kipingamizi sasa hivi wakati tayari mmeshaanza taratibu. Kisaikolojia kunaweza kuwa na sababu kadhaa:-

1. Inaweza kuwa kapata ushauri toka kwa ndugu au jamaa zake.
2. Kutokana na mafaniko mliyonayo sasa hivi wanahisi ukishaolewa hawatapata msaada tena toka kwa mtoto wao sababu mmechuma wote mali.
3. Wivu tu wa kibinadamu kuwa ukiolewa utafaidi mali kuliko wao,,wakati mmehangaika wote kuzitafuta.

Kama moyo wako unakushuhudia hujawahi kufanya baya lolote lile kwa ndugu wa mchumba wako Mungu atakuwa upande wenu fungeni ndoa. Tayari mlishapata baraka za awali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii notion bado ipo saana ila wanawake wa kichaga hawako hivyo tena

Nafikiri waliponzwa na wamama wachache wa kichaga waliokuwa na tamaa ya mali.
Hivi kwa nini makabila mengi wanaogopa sana mabinti wa kichaga? Wajanja wajanja sana?
 
Mama mkwe yuko sawa. Mpare na Mchaga umuozeshe mwanao! Nani anataka kahaba nyumbani. Heri ya Mhaya hata Mnyaturu kuliko mchaga tena mmachame. Yethu! Wanajamiiana kama inzi, kaka dada, mjomba shemeji baba mkubwa na mdogo mradi kila ajaye anapewa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…