Pleasepast
JF-Expert Member
- May 30, 2023
- 509
- 848
Kausha mradi unajua yuko kwao endelea na mambo mengine, wakimchoka/akichoka atarudi mwenyewe.Habarini za usiku wapendwa
Naomba kwa wenye ufahamu na mambo haya wanijuze nifanye nini kwasababu niko njia panda iko hivi mke wangu tulikosana kidogo akaenda kwao amekaa wiki mbili nimeenda kwa lengo la kuona mtoto lakini cha ajabu walipo pata taarifa kwamba naenda tu Mama mkwe amemtorosha mke wangu na wote hawatoi ushirikiano simu hawapokei wala kujibu sms yani ni kama hawataki mawasiliano kabisa na wakati tuna mtoto pamoja
Naomba msaada kwa mwenye uzoefu na mambo haya
Kwao nimeenda hayupo na kuna taarifa nimesikia kwamba ameenda nje ya mkoa japo sina uhakika nazo mimi mwenyewe nawaza nimpotezee kwasababu hataki mawasiliano labda siku akihitaji matumizi ya mtoto atanitafuta yeye mwenyeweKausha mradi unajua yuko kwao endelea na mambo mengine,wakimchoka/akichoka atarudi mwenyewe.
Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
Asilimia mia moja ni wa kwanguUna uhakika huyo mtoto ni wako?
Nashukuru sana kwa maoni yako naona ni mazuriAchana nao endelea na mambo yako.
Muda ni mwamuzi mzuri zaidi.
Pole sana mkuuAsilimia mia moja ni wa kwangu
Asante sana ni changamoto sana hawa wanawake walio lelewa na Mama peke yakePole sana mkuu
Ni changamoto sana huwa wanafanana tabia na akili, hao wameshauriana wafanye hivyo.Asante sana ni changamoto sana hawa wanawake walio lelewa na Mama peke yake
Mkuu kwaio nimpotezee tu asije kusema nimetelekeza mtotoUnafanya nini hapo njia panda.? Em rudi nyumbani haraka ufanye mambo yako madogomadogo
Yani ni kipengele sana hapa nawaza niwapotezee tu niendelee na kazi zangu japo mtoto wanamuhangaisha sana kwa mambo yao.Ni changamoto sana huwa wanafanana tabia na akili, hao wameshauriana wafanye hivyo.
ππππ Mwaka wenu huuπ΄Unafanya nini hapo njia panda.? Em rudi nyumbani haraka ufanye mambo yako madogomadogo
Uzuri ni kwamba wako salama ila hawakuhitaji, hivyo basi ukihitajika utaitwaMkuu kwaio nimpotezee tu asije kusema nimetelekeza mtoto
Fuatilia taratibu kwa faida ya mtotoYani ni kipengele sana hapa nawaza niwapotezee tu niendelee na kazi zangu japo mtoto wanamuhangaisha sana kwa mambo yao.
Hakika mtoto ndio namuwazia sanaFuatilia taratibu kwa faida ya mtoto
Hata wewe utakuwa unakasoro haiwezekani umzalishe mwanamke harafu Bado hakutaki jichunguzeAsante sana ni changamoto sana hawa wanawake walio lelewa na Mama peke yake