Ms eyes
JF-Expert Member
- Feb 4, 2023
- 4,757
- 11,922
Kuna wakati nikiona hawa viumbe wanahangaika au kuteswa na mapenzi huwa nafurahi sana, wamezoea kuumiza wanawake tu ila wao wakipata tatizo kidogo tayari unalikuta mtandaoni😂😂😂😂😂😂😂 Mwaka wenu huu😴