Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 10,174
- 89,364
🔨Kwao nimeenda hayupo na kuna taarifa nimesikia kwamba ameenda nje ya mkoa japo sina uhakika nazo mimi mwenyewe nawaza nimpotezee kwasababu hataki mawasiliano labda siku akihitaji matumizi ya mtoto atanitafuta yeye mwenyewe