Kaka pole kwa yaliyokukuta.
Consideration.
Ushauri huu ni unaohusiana na kama kosa lililomfanya aondoke ni lipi. Kama ulifumaniwa huu ushauri haukuhusu kuwa king'ang'anizi mpk arudi ila km n kupishana mambo mengine basi soma hapa......!
kwa vile umeshatumia busara sana mpk kwenda kwao mwanamke mama ake akamtorosha manake yeye na mwanao inaonesha yafuatayo.
1. Wamekuzoea sana yawezekana una ukaribu sana na ukweni jambo ambalo linawafanya wakuone huna maamuzi.
2. Mama mkwe wako ni mswahili na kuna uwezekano mkubwa kamlea mtoto wake(mkeo) katika Uswahili.
3. Utakuwa unaombaga sana msamaha mpaka mkeo anaona huwezi ishi bila yeye.
Cha kufanya..
Maadam ushakosea hutakiwi kukosea tena. Kama una uhakika uko nyumbani wana uhakika kuwa utawatafta fanya maamuzi kama mwanaume. Usipige simu wala kuwatumia sms wala usitume hela hata mia. Jaribu kwa week 1,2 mpk mwezi utanpa majibu