Mama mkwe na mwana wote wanapiga mbonji kwangu

j
Hebu tuheshimiane mkuu,hunijui sikujui,ukiona kitu hujaelewa basi jua huo ujumbe sio wako,jaribu kusoma ulizoelewa!!
Jamaa nae anaonekana mchezea remote kwa mme wa dada yakr ndo maana haelew hata alichokiandika,we dada akishaolewa inatosha c mpango kwenda kujazana kwa mme wake,mnwanyima uhuru na gharama pia kuongezeka
 
Ndo usha olewa ivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majuzi tu nilisitish mahusiano na mdada...!!kisa kikuu n kwakuwa niliona hatari ya kulisha familia nzima

Mkwe kwanza amepanga....yan wapo kwenye nyumba ya kupanga....yeye na mumewe(ambaye sio baba wa huyo mtoto)....wamepanga chumba kimoja na sijui huyo binti analalaje

Binti alianza kunihamasisha saana nkajitambulishe kwao ili tuwe huru kila nkimhitaji na awe huru kulala kabsaa kwangu

Nimejaribu kupiga hesabu ya maisha ytakayofuata
1.ipo cku ntatakiwa kuchangia kodi ya mkwe
2.ujenzi kama nkikamlilisha nna uhakika mkwe na mdogo wake watakuja kuishi kwetu pia
3.lakini kingine pia huyu msichana anashikiwa akili na mama yake mdogo(anamtaftia watu mbali mbali)

Nilishika simu yake jana nkaona madudu ndipo nlpoamua kuachana nae jumla...!!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jamaa ni mchoyo, utafikiri ktk maisha yake hajawah kusaidiwa,pole sana kaka, ujajua kuwa maisha yako yana watu wengi nyuma yako, pole tena. selfsh
 
Kuna mwingine anamaliza chuo mwaka huu atakuja hapo soon
 
Sema umefilisika, Amia kwenye chumba kimoja. Mwezi tu utakuwa ushatatua tatizo. Ila ina gharama zake maana utaijua tabia halisi ya mkeo.
 
Pole hapo wansona unafuu, punguza huduma watakimbia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…