oyieko
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 308
- 372
Unayopitia ndo nayapitia sasa mama mkwena mwanae wa kiume tena miaka 41 daaah maisha haya
Sent using kvant
Imeondolewa..
Sent using kvant
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imeondolewa..
Hao unawaendekeza..Unayopitia ndo nayapitia sasa mama mkwena mwanae wa kiume tena miaka 41 daaah maisha haya
Sent using kvant
Jamaa nae anaonekana mchezea remote kwa mme wa dada yakr ndo maana haelew hata alichokiandika,we dada akishaolewa inatosha c mpango kwenda kujazana kwa mme wake,mnwanyima uhuru na gharama pia kuongezekaHebu tuheshimiane mkuu,hunijui sikujui,ukiona kitu hujaelewa basi jua huo ujumbe sio wako,jaribu kusoma ulizoelewa!!
akae kwake asaidiwe c kuamia kwangu,nmeoa dada na cjaoa familia ieleweke ivoShida ipo wapi? Mama mkwe ni Mama yako, Dogo maisha yamekwama msaidie, ndo tunavyoishi, wewe unapenda tu Dada yao?
Kwangu mamamkwe na vijana wake wa kiume wamehamia kabisa kwangu, hawana matatizo yoyote yani mama mkwe ndiye kawa sterling anafanya maamuzi kwangu, mashemeji zangu wako kwangu wanaishi na kusoma, baba mkwe naye huja mara kwa mara.
Hii siyo uongo wala chai, yani wamehama kwao mkaoni wamehamia Dar kwangu.
Sasa hawataki ndugu yangu yeyote kwangu, siyo kukaa hata kupita kusalimia hawataki. Na wanafanya wazi wazi kabisa, sielewi hata nifanyeje?
Sina maelewano na ndugu zangu kwasababu nilitaka kumridhisha mke wangu, kwa kuruhusu familia yake kuhamia kwangu.
Ha ha ha true mkuu!Usioe mwanamke mwenye elements za kiswahili. Nyumbani kwako kutageuka kambi ya wakimbizi, hawanaga haya hao.
Ha ha hamr.London, Kwa mama mkwe wa hivyo hamtamaliza hata miaka miwili mbele lazima wewe na mkeo muachane!
Tofauti na hapo wakupige limbwata uwe bwege then familia nzima wahamie hapo halafu wakubandike na kajina ka utani "kijeba" ni full kukusema kutwa nzima ukiwa job na kukuigiza unavyotembea na kuongea[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pole hapo wansona unafuu, punguza huduma watakimbiaWatu wa ukumbi huu, habari zenu.
Nimeoa na sasa nina watoto 2 alhamdullah, nampenda sana mke wangu lakini kuna jambo hili linaendelea kila uchao nahisi moyoni nimeanza kulichukia chukia.
Kuna muda mamamkwe amekuja kumsaidia ulezi wife wakati wa kujifungua lakini akapitiliza ule muda nilioambiwa na wife kama angekaa, sasa akawa anakaa kama ndio mahali pa kuishi. Yeye ni age kidogo, mama mtu mzima, hana mume.
Kuna kipindi huyu mama anaumwaumwa, mara ikaja ni kuhusu haya mambo yaliyoingia; sijui kapewa jini, mara shetani tafrani nyumbani mpaka sasa amesafirishwa mji wa pili kwa matibabu zaidi lakini nahisi akimaliza matibabu kama aturidi hapa kwangu.
Suala lingine naona shemeji yangu mtoto wa kiume shababi naye amekuja. Siku hiyo wife akaniambia leo shemeji yako, yaani mdogo wake, atalala hapa nikasema safi nikamtolea kitanda na godoro ili achape usingizi kwa siku ile, lakini naona siku ya pili kaendelea mpaka imefika kama wiki akasafiri kidogo kaenda kukaa kama siku 4 karudi yupo tunaendelea naye anachapa usingizi kama kawaida.
Nilijaribu kumuuliza wife ananimbia anafuatilia kitambulisho cha Taifa. Sasa mimi najiuliza, ivi unaweza kuacha shughuli zako siku zote kwa kitambulisho tu? Kuna siku akasema ile namba tayari ashapewa lakini mzee yupo ameganda tu na sasa pale home majukukumu yanaongezeka.
Naomba fatwa watu wa hapa, vipi niendelee kuvumilia maana hata uhuru pale nyumbani naona umebanwa kidogo.