Chumba na sebule wanakuja mkuu utajua wewe watalalajeJamani Africa tunakwama wapi? Umeona binti umempenda umeulizia bei gani (mahari) umelipa ili uachane nao kiroho safi! Kumbe ndo unaenda kubeba ukoo na utitiri wa ndugu kisa unaishi nyumba kubwa either umepanga au umejenga. Ungekuwa na chumba kimoja au chumba na sebure wangekuja? Africa! Tunakwama wapi?
Mimi sioni kama ana roho mbaya, mama anaishi Kwa mtoto wa kiume na hilo wengi hawalijui, mtoto wa kike muolewaji tu anakwenda kusalimia na kurudi labda kama kuna sababu maalum ya kukaa pale, huyu kijana kwenda kukaa Kwa dada aliyeolewa nyio mnaona sawa? Labda kuwe na sababu ambayo itamfanya muoaji katoa wazo la huyo shemeji aje kukaa hapo, yupo sahihiJe huyo mke wako hana wadogo zake wa kiume au wakike wanaojitegemea? Hahaha daah jamaa yangu wewe una roho mbaya aisee
No retreat no surrender, Wanakuja tu dar familia ngapi zinaishi chumba na sebule na ndugu karibia watu8 humohumo na maisha yanaenda?!
Tuache utani wangekua ndugu wake yeye mwanaume angelalamika?!
Usioe mwanamke mwenye elements za kiswahili. Nyumbani kwako kutageuka kambi ya wakimbizi, hawanaga haya hao.
mr.London, Kwa mama mkwe wa hivyo hamtamaliza hata miaka miwili mbele lazima wewe na mkeo muachane!
Tofauti na hapo wakupige limbwata uwe bwege then familia nzima wahamie hapo halafu wakubandike na kajina ka utani "kijeba" ni full kukusema kutwa nzima ukiwa job na kukuigiza unavyotembea na kuongea[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii haijalishi ni ndugu wa nani wanazungumziwa hapa, tatizo ni USWAHILI. Unaongea kwa uchungu kwa kuwa hata sasa unaishi kwa shemeji yako eeh? Toka hapo mama nenda kwako, utaharibu ndoa ya dadaako. Tujifunze pia kuzaa kwa mpango
Mnatombana mchana ndugu wakiwa nje unatoroka job chap unapiga kimoja fasta unasepa
Ukiwa unadate na binti wa kukuletea utitiri wa ndugu utamjua tu mwanzoni. Unamtoa out au mko kwenye maongezi yenu mara simu inalia anaongea anaanza kukutambulisha na kukupa simu sijui msalimie anti/uncle/mama/Dada/kaka/ mdogo wangu, n.k. ukioona hivyo ni dalili tosha huyo manzi chaka!
Mkuu kuna familia na familia Sisi kwetu utatimuliwa tu hakuna kukaa Kwa Kaka wala Kwa dada, hivyo vikao na simu kutoka Kwa ndugu, utaondoka bila kuaga, mwenye kukuuliza utaondoka lini huko, mwingine atakwambia kabisa ondoka mwache mwenzio aishi Maisha yake usimpe karaha, mkuu humalizi mwezi utaondoka tu tena bila kinyongoNo retreat no surrender, Wanakuja tu dar familia ngapi zinaishi chumba na sebule na ndugu karibia watu8 humohumo na maisha yanaenda?!
Tuache utani wangekua ndugu wake yeye mwanaume angelalamika?!
kuoa ni kujitwisha majukumu yasiyo ya lazima, ulikuwa haulijui hilo?
Hahahahaaa my footShida za kuoa Kilimanjaro halafu wewe uaishi pale moshi mjini,nauli mtu haizidi hata 5000
Mtu anaoa Dar halafu anaenda kuishi mbezi beach oooh hooo kila sku ndugu hawakauki tena
watakuja kila week end kukusalimieni tu,Dawa ya Ndoa Unaoa Dar unaenda ishi Kigoma huko
Unaoa Bukoba unaleta kambi Dar,yani mtu akifikiria kuja kwanza lazima apige simu kutoa taarifa
sio mambo ya kuoa Sakina halfu unaenda kuishi ngaramtoni huo ndo uzwazwa maji...
Ujamaa ni kitu kibaya sana
Iliwahi kumtokea bro wangu. Wamekaa mara bi mkubwa huyo na watu kama watatu hivi. Ukiangalia nyumba vyumba vitatu. Jamaa ana mke na watoto 3, na mfanya kazi na wadogo za mke we 2.Kweli mifano ni mingi
Haujaona tu unakuta mtu ana appartment kapanga ila ndo hvyo ndugu na watu baki kama wote na sababu wanafahamiana na mwanaume